Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Thursday, January 31, 2013

NIKKI MBISHI AWAKERA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUWEKA PICHA KATIKA MTANDAO

Msanii wa Hip Hop maarufu kama Nikki Mbishi leo jioni baada ya kuweka picha ambayo iliweza kukera watu wengi  huku wengine wakijiuliza maswali mengi juu ya picha hiyo lakini hawakuweza kupata jibu juu ya picha hiyo kwamba alikuwa anamaanisha nini.


SUMA LEE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

suma lee

#BREAKING: TAARIFA KUHUSU JAHAZI LILILOZAMA NUNGWI LEO JANUARY 31 2013 LIKIWA NA WATU 32 IKO HAPA

Ajali ya Nungwi september 2012.

Taarifa zilizo kwenye headlines wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo Sunrise likitokea  Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32 ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote.
Namkariri Kamanda wa Polisi Zanzibar akisema “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye chombo ni watu 32 hivyo watu bado watu 11 hawajulikani walipo”
Endelea  kupita hapa theHOODinfotainment  kwa taarifa zaidi zitakazotufikia wakati wowote

PICHA ZA NGONO ZA ARNOLD SCHWARZENEGGER ZAELEKEA KUFIKIA DOLA 150,000

This summary is not available. Please click here to view the post.

WEMA:MAPENZI YAMEAMIA KWA CK BAADA YA DIAMOND KUMZIGUA

                              
 Zimepita siku chache tu baada ya Diamond ku post picha akiwa amelala na Penny mpaka kupelekea watu wengi kuzungumzia picha hiyo ambayo ilileta utata,sasa nyingine mpya hii hapa kutoka kwa Wema Sepetu akiwa na CK.
                                https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9HR8LyHqEJ6ML0dkBECPc-Yv74rFhjCFMRbvS688TZbURDjJMhW-xMcWFhH-I5de-JmuZcBprW7ID5ukwuhMkSUklSSUhylmBRGgvHjJ7RXgjqCfbIlA_uUSzwg0nZtqgCbGgn3DSQKFc/s1600/wema+sepetu..jpg
  

Wednesday, January 30, 2013

MUIGIZAJI MATUMAINI ANA HALI MBAYA NCHINI MSUMBIJI ANAHITAJI MSAADA WA HARAKA

Mchekeshaji na muigizaji maarufu Tanzania Tumaini Martin maarufu kwa jina la Matumaini anaumwa na ana hali mbaya sana chini Msumbiji na inasemekana amevimba miguu na tumbo na mwili mzima kukosa nguvu, hivyo msanii huyo anahitaji msaada wa haraka ili apate nauli ya kurudia nchini na kuja kupata matibabu.Taarifa rasmi kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha waigizaji taifa Mike Sangu zinasema "msanii mwenzetu matumaini bado anaumwa sana na bado yupo Msumbiji mpaka sasa na kitu ambacho kinamsumbua ni kuvimba miguu na tumbo na akiwa hana uwezo wa kujitibia wala nauli ya kurudia nchini". Taarifa za awali zinasema msanii huyo aliingia Msumbiji kwa ziara ya kisanii na akiwa huko alimpata jamaa wa huko na kuamua kufanya maisha yake nchini humo. Wenzake waliokwenda nae nchini humo walirudi nchini lakini yeye aliamua kubaki ili kuanza maisha mapya.Kwa wale watakaoguswa na tatizo lake wanaweza kumsaidia kupitia Tigo pesa kupitia mwenyekiti wa waigizaji taifa ndugu Michael Sangu kwa namba hizi +255718951355.
mungu amsaidie apone haraka na kurudi katika majukumu yake ya kila siku.

JUSTIN BIEBER AMPAPASA MAZIWA SHABIKI WAKE WAKATI WA MEET AND GREET

What a handful: Justin Bieber poses for a cheeky shot with a fan as he cups her breast during a Miami meet and greet session 
anaonekana slow by slow akiupa mgogo u good boy aliokuwanao kama kijana mdogo tangu aingie kwenye game ya mziki.
na sasa Bieber mwenye miaka 18, anaonekana kuendelea kuvuka mipaka zaidi na zaidi hasa upande wa mashabiki wake.
baby boy hit maker ameonekana akiopapasa nyonyo ya shabiki wakati wa  "meet and greet session, Miami siku ya juma tatu.kilichoshangaza zaidi ni pale ambapo watu walidhani shabiki huyo atashtuka au kukasirishwa na kitendo hicho, lakini badala yake alionekana kutokushtuka na hata kumpa bonge la smile.

members wawili wa kundi la waturutumbi wapo dar kufanya ngoma zao



  members wawili wa kundi la waturutumbi wapo dar kufanya ngoma zao binafsi na moja ya kundi ni docca na head fire ambapo watapita fish crab,one recors na halisi records.  Wakikamilisha ngoma hizo kupitia theHOODinfotainment utazipata hapahapa soon, huu ndio ujio mpya wa mwaka 2013 WATURUTUMBI wakiwa chini ya mtu mzima Stoppa wanavyo kwa kukamilisha ngoma zao tofautitofauti za kundi na mtu mmojammoja kutoka katika kundi hilo.

KUPITIA MITANDAO WALICHOKIANDIKA MASHABIKI BAADA YA LULU KUINGIA URAIANI

  Lulu baada ya kuachiwa Uhuru kwa dhamana sasa kupitia katika mitandao ya facebook kulikuwa na maoni mbalimbali ya watu wakizungumza juu ya Lulu kuingia kitaani.


HAYA NDIO MANENO ALIYOYASEMA MWIGIZAJI LULU NJE YA MAHAKAMA KUU, UNAWEZA KUSOMA HAPA

.
January 29 2013 ndio msajili amethibitisha kwamba mwigizaji Lulu ametimiza masharti yote ya dhamana juu ya kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia.
Lulu na mama yake mzazi wote kwa pamoja waliangua vilio baada ya dhamana yao kukamilika wakati wakiwa nje ya Mahakama kabla ya kuondoka na Lulu kuingia uraiani.
Haya ni maneno ya Lulu aliyoyatoa akiwa analia…. “Nawashukuru watu wote na nilikua naomba watu waendelee kuniombea sababu hii ni dhamana tu lakini kesi bado ina safari ndefu… nawashukuru wale wote waliokua na mimi kwa hali yeyote ile na zaidi zaidi namshukuru sana Mwenyezi Mungu

Monday, January 28, 2013

USIKU WA DIAMOND PLATNUM ULIVYOKUWA NI BALAA..PENNY NAYE ALIKUWEPO.DUH DIAMOND NI NOUMER MAZEE


Wasafi Dancers wakiwa Ready for Show......!!
Romeo J akiwa na Mama Naseeb in da House...!!
Penny & Halima walikuwepo kufanikisha usiku wa Diamond Platnumz unakuwa usiku wa Kukumbukwa Kigamboni..!!


From Left Dulla,Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas the Boss.....walikuwepo kutoa support...!!
Halima Kimwana Along side with Mama Naseeb & Penny Mungilwa
Hapa nikiwasili kwenye viwanja vya Navy Beach Kigamboni.....!!
Mashetani sasa si ndo yakapanda Kabla ya show...mapemaaaa

Rj kwa moja na mbili sasaaaa...haya twendeeeee
Nikaanza kusema nao mtoto wa kimanyema


Mpelampela tu hapa hakuna kusimama

Umati uliojitokeza haukuwa Nyuma kurecord kila kinachoendelea...!!
Kwa stage moto ulikua bado wa hatari aseeee.......

Wakitaka niendelee kumwaga radhi....
Mashabiki wakiwa bado na kiu ya burudani



Niendelee ama nisiendeleeee......?nasubiri jibu




Nikundelea kukonga moyo tu mpaka kielewekeeeee......
Tumeelewanaaa......
Nikiwashukuru Mashabiki wa Kigamboni kwa support kubwa walionesha kwa PRESIDENT...!!
baada ya show tukiwa eneo la kivuko kusubiri panton kuturudisha dar au vipi bana....hapo RJ wit THE TRU BOY(NEY)
Dome Platnum & Emma Platnum....wasafiiii beybeeee!!

peace out au vipi.....?
Picha ya pamoja na Ney wa Mitego a.k.a The True boy....!!
Picha ya Pamoja na watu wangu wa nguvu