Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Saturday, August 31, 2013

VIDEO: ANGALIA HAPA LIVE LULU AKIIMBA WIMBO WA 'YAHAYA' JANA KATIKA UZINDUZI WA FOOLISH AGE


Elizabeth Lulu Michael anaweza kuimba. Alithibitisha live jana kwenye uzinduzi wa filamu yake, Foolish Age, pale alipopanda kwenye stage na kuimba kwa ufasaha na Lady Jaydee hit yake Yahaya. Kutokana na kuimba kwa ustadi na bendi ya Machozi, Lulu alituzwa na mvua ya hela na mashabiki, Tazama video.

Interview ya Lulu kwenye red carpet siku ya uzinduzi wa Foolish Age

PICTURE | UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA LULU FOOLISH AGE KATIKA PICTURE TOFAUTI.


  
                                                                                  lulu  huyooooooo
barnaba boy  kwa  mbali 

 Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na                wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
 
                              Jayde akikamua jukwaani... 
                                             Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
                                                                  wema  alikuwepo

                                   mkwanja alio tuzwa Jide...

                                     Rich Rich  ndani
               
                                         JB  NAE  ALIFURAHIA

 Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo                                                   ya Lulu.

PICHA KWA HISANI YA jimmcarter.blogspot.com

Friday, August 30, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI ZA. UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND




Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love....
Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi....
Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba.....
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo.....
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi.......
wakiongozwa na Number One Diva Hamisa
hassani Mobeto.





Mzee Muhidini Gurumo nae akukosekana  ndani ya Nyumba.Furaha Ilioje kumuona Nguli wa Muziki wa Dansi nchini akiudhuria  kwenye kitu chako,binafsi nimefurahi sana uwepo wake ulizidi kuimarisha moyo wangu.

Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili  ndani ya Nyumba pembeni na FloweR Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9..

Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi
Kama kawaida......
Sarah A.k.a Shaa nae ndani 
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali  kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini....




Mama yangu Mdogo yanii nikimaanisha Mdogo wake na mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo...

Mwenyewe Naseeb Abdul Nilipowasili,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa......


Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari..

Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana...

Jacquline wolper & Qboy Msafii..

Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu
Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...
Thanks For Coming Buddy..

The True Boy Is in the building.
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo
 kushow Love kwa mdogo wake..