![]() |
Elizabeth Lulu Michael anaweza kuimba. Alithibitisha live jana kwenye uzinduzi wa filamu yake, Foolish Age, pale alipopanda kwenye stage na kuimba kwa ufasaha na Lady Jaydee hit yake Yahaya. Kutokana na kuimba kwa ustadi na bendi ya Machozi, Lulu alituzwa na mvua ya hela na mashabiki, Tazama video. |
Pages - Menu
▼
Saturday, August 31, 2013
VIDEO: ANGALIA HAPA LIVE LULU AKIIMBA WIMBO WA 'YAHAYA' JANA KATIKA UZINDUZI WA FOOLISH AGE
PICTURE | UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA LULU FOOLISH AGE KATIKA PICTURE TOFAUTI.
lulu huyooooooo
Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City. Jayde akikamua jukwaani... Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa. wema alikuwepo
mkwanja alio tuzwa Jide...
Rich Rich ndani
JB NAE ALIFURAHIA
Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
barnaba boy kwa mbali |
Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City. Jayde akikamua jukwaani... Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa. wema alikuwepo
mkwanja alio tuzwa Jide...
Rich Rich ndani
JB NAE ALIFURAHIA
Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
Friday, August 30, 2013
ANGALIA PICHA ZAIDI ZA. UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND
Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love.... |
Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi.... |
Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba..... |
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo..... |
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi....... wakiongozwa na Number One Diva Hamisa hassani Mobeto. |
Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili ndani ya Nyumba pembeni na FloweR Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9.. |
Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi |
Kama kawaida...... |
Sarah A.k.a Shaa nae ndani |
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini.... |
Mama yangu Mdogo yanii nikimaanisha Mdogo wake na mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo... |
Mwenyewe Naseeb Abdul Nilipowasili,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa...... |
Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari.. |
Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana... |
Jacquline wolper & Qboy Msafii.. |
Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV... |
Thanks For Coming Buddy.. |
The True Boy Is in the building. |
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo kushow Love kwa mdogo wake.. |