Msanii wa Hip Hop maarufu kama Nikki Mbishi leo jioni baada ya kuweka
picha ambayo iliweza kukera watu wengi huku wengine wakijiuliza maswali
mengi juu ya picha hiyo lakini hawakuweza kupata jibu juu ya picha hiyo
kwamba alikuwa anamaanisha nini.
Pages - Menu
▼
Thursday, January 31, 2013
SUMA LEE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
![]() |
suma lee |
Ikiwa ni takribani miezi 9 tangu afiwe na mama yake mzazi kwa ugonjwa wa kiharusi katika hospitali ya Muhimbili,,msanii Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi.
"BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI."
#BREAKING: TAARIFA KUHUSU JAHAZI LILILOZAMA NUNGWI LEO JANUARY 31 2013 LIKIWA NA WATU 32 IKO HAPA
Taarifa
zilizo kwenye headlines wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo
Sunrise likitokea Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32
ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote.
Namkariri Kamanda wa Polisi
Zanzibar akisema “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima
na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye
chombo ni watu 32 hivyo watu bado watu 11 hawajulikani walipo”
Endelea kupita hapa theHOODinfotainment kwa taarifa zaidi zitakazotufikia wakati wowote
PICHA ZA NGONO ZA ARNOLD SCHWARZENEGGER ZAELEKEA KUFIKIA DOLA 150,000
This summary is not available. Please
click here to view the post.
WEMA:MAPENZI YAMEAMIA KWA CK BAADA YA DIAMOND KUMZIGUA

Zimepita siku chache tu baada ya Diamond ku post picha akiwa amelala na
Penny mpaka kupelekea watu wengi kuzungumzia picha hiyo ambayo ilileta
utata,sasa nyingine mpya hii hapa kutoka kwa Wema Sepetu akiwa na CK.

Wednesday, January 30, 2013
MUIGIZAJI MATUMAINI ANA HALI MBAYA NCHINI MSUMBIJI ANAHITAJI MSAADA WA HARAKA
Mchekeshaji na muigizaji maarufu Tanzania Tumaini Martin maarufu kwa
jina la Matumaini anaumwa na ana hali mbaya sana chini Msumbiji na
inasemekana amevimba miguu na tumbo na mwili mzima kukosa nguvu, hivyo
msanii huyo anahitaji msaada wa haraka ili apate nauli ya kurudia nchini
na kuja kupata matibabu.Taarifa rasmi kutoka kwa mwenyekiti wa chama
cha waigizaji taifa Mike Sangu zinasema "msanii mwenzetu matumaini bado
anaumwa sana na bado yupo Msumbiji mpaka sasa na kitu ambacho
kinamsumbua ni kuvimba miguu na tumbo na akiwa hana uwezo wa kujitibia
wala nauli ya kurudia nchini". Taarifa za awali zinasema msanii huyo
aliingia Msumbiji kwa ziara ya kisanii na akiwa huko alimpata jamaa wa
huko na kuamua kufanya maisha yake nchini humo. Wenzake waliokwenda nae
nchini humo walirudi nchini lakini yeye aliamua kubaki ili kuanza maisha
mapya.Kwa wale watakaoguswa na tatizo lake wanaweza kumsaidia kupitia
Tigo pesa kupitia mwenyekiti wa waigizaji taifa ndugu Michael Sangu kwa
namba hizi +255718951355.
mungu amsaidie apone haraka na kurudi katika majukumu yake ya kila siku.
JUSTIN BIEBER AMPAPASA MAZIWA SHABIKI WAKE WAKATI WA MEET AND GREET
anaonekana slow by slow akiupa mgogo u good boy aliokuwanao kama kijana mdogo tangu aingie kwenye game ya mziki.
na sasa Bieber mwenye miaka 18, anaonekana kuendelea kuvuka mipaka zaidi na zaidi hasa upande wa mashabiki wake.
baby boy hit maker ameonekana akiopapasa nyonyo ya shabiki wakati wa
"meet and greet session, Miami siku ya juma tatu.kilichoshangaza zaidi
ni pale ambapo watu walidhani shabiki huyo atashtuka au kukasirishwa na
kitendo hicho, lakini badala yake alionekana kutokushtuka na hata kumpa
bonge la smile.
members wawili wa kundi la waturutumbi wapo dar kufanya ngoma zao
KUPITIA MITANDAO WALICHOKIANDIKA MASHABIKI BAADA YA LULU KUINGIA URAIANI
Lulu baada ya kuachiwa Uhuru kwa dhamana sasa kupitia katika mitandao
ya facebook kulikuwa na maoni mbalimbali ya watu wakizungumza juu ya
Lulu kuingia kitaani.
HAYA NDIO MANENO ALIYOYASEMA MWIGIZAJI LULU NJE YA MAHAKAMA KUU, UNAWEZA KUSOMA HAPA
January 29 2013 ndio msajili
amethibitisha kwamba mwigizaji Lulu ametimiza masharti yote ya dhamana
juu ya kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia.
Lulu na mama yake mzazi wote
kwa pamoja waliangua vilio baada ya dhamana yao kukamilika wakati wakiwa
nje ya Mahakama kabla ya kuondoka na Lulu kuingia uraiani.
Haya ni maneno ya Lulu
aliyoyatoa akiwa analia…. “Nawashukuru watu wote na nilikua naomba watu
waendelee kuniombea sababu hii ni dhamana tu lakini kesi bado ina safari
ndefu… nawashukuru wale wote waliokua na mimi kwa hali yeyote ile na
zaidi zaidi namshukuru sana Mwenyezi Mungu”
Monday, January 28, 2013
USIKU WA DIAMOND PLATNUM ULIVYOKUWA NI BALAA..PENNY NAYE ALIKUWEPO.DUH DIAMOND NI NOUMER MAZEE

Wasafi
Dancers wakiwa Ready for Show......!!

Romeo J
akiwa na Mama Naseeb in da House...!!

Penny
& Halima walikuwepo kufanikisha usiku wa Diamond Platnumz unakuwa usiku wa
Kukumbukwa Kigamboni..!!



From Left
Dulla,Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas the Boss.....walikuwepo
kutoa support...!!

Halima
Kimwana Along side with Mama Naseeb & Penny
Mungilwa
Hapa
nikiwasili kwenye viwanja vya Navy Beach
Kigamboni.....!!

Mashetani
sasa si ndo yakapanda Kabla ya
show...mapemaaaa


Rj kwa
moja na mbili sasaaaa...haya twendeeeee

Nikaanza
kusema nao mtoto wa kimanyema



Mpelampela
tu hapa hakuna kusimama


Umati
uliojitokeza haukuwa Nyuma kurecord kila
kinachoendelea...!!

Kwa stage
moto ulikua bado wa hatari aseeee.......


Wakitaka
niendelee kumwaga radhi....

Mashabiki
wakiwa bado na kiu ya burudani




Niendelee
ama nisiendeleeee......?nasubiri jibu




Nikundelea
kukonga moyo tu mpaka kielewekeeeee......

Tumeelewanaaa......

Nikiwashukuru
Mashabiki wa Kigamboni kwa support kubwa walionesha kwa
PRESIDENT...!!

baada ya
show tukiwa eneo la kivuko kusubiri panton kuturudisha dar au vipi bana....hapo
RJ wit THE TRU BOY(NEY)

Dome
Platnum & Emma Platnum....wasafiiii
beybeeee!!

peace out
au vipi.....?

Picha ya
pamoja na Ney wa Mitego a.k.a The True
boy....!!

Picha ya
Pamoja na watu wangu wa
nguvu
Wasafi Dancers wakiwa Ready for Show......!! |
Romeo J akiwa na Mama Naseeb in da House...!! |
Penny & Halima walikuwepo kufanikisha usiku wa Diamond Platnumz unakuwa usiku wa Kukumbukwa Kigamboni..!! |
From Left Dulla,Casto Dickson,Penny,Esma Platnmz & Dallas the Boss.....walikuwepo kutoa support...!! |
Halima Kimwana Along side with Mama Naseeb & Penny Mungilwa |
Hapa nikiwasili kwenye viwanja vya Navy Beach Kigamboni.....!! |
Mashetani sasa si ndo yakapanda Kabla ya show...mapemaaaa |
Rj kwa moja na mbili sasaaaa...haya twendeeeee |
Nikaanza kusema nao mtoto wa kimanyema |
Mpelampela tu hapa hakuna kusimama |
Umati uliojitokeza haukuwa Nyuma kurecord kila kinachoendelea...!! |
Kwa stage moto ulikua bado wa hatari aseeee....... |
Wakitaka niendelee kumwaga radhi.... |
Mashabiki wakiwa bado na kiu ya burudani |
Niendelee ama nisiendeleeee......?nasubiri jibu |
Nikundelea kukonga moyo tu mpaka kielewekeeeee...... |
Tumeelewanaaa...... |
Nikiwashukuru Mashabiki wa Kigamboni kwa support kubwa walionesha kwa PRESIDENT...!! |
baada ya show tukiwa eneo la kivuko kusubiri panton kuturudisha dar au vipi bana....hapo RJ wit THE TRU BOY(NEY) |
Dome Platnum & Emma Platnum....wasafiiii beybeeee!! |
peace out au vipi.....? |
Picha ya pamoja na Ney wa Mitego a.k.a The True boy....!! |
Picha ya Pamoja na watu wangu wa nguvu |