![]() |
suma lee |
Ikiwa ni takribani miezi 9 tangu afiwe na mama yake mzazi kwa ugonjwa wa kiharusi katika hospitali ya Muhimbili,,msanii Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi.
"BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI."
No comments:
Post a Comment