DIAMOND AKITANGAZA LIVE KIPINDI CHA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM
Hii
itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa Bongo Fleva maarufu kama
Diamond Platinum kwa kuwasha kipaza sauti na kuendesha show ya
redio kwa masaa mawili live ndani ya choice Fm 102.5 Fm Hebu tune
to Choice Fm today kuanzia hivi sasa 3pm-5pm.
No comments:
Post a Comment