| Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!! |
| WASAFIIIII......!! |
| Tulivofika Nje tukaanza Kukoki SMG zetu kabisaaa...!! |
| Ramadhani Mpauka......!! |
| Nikiwa na Abdallah Mjukuu wa Ambua toka EATV mi Humwitaga Dullah Planet |
| Nikiwa Naingia Maishani ....!! |
| Nikiwa naYvonne,Fetty Kitasa & Prince BrotherMan Dully Sykes...!! |
| Mwaulanga pia Ndani... |
| Ommy Dimpoz akihojiwa na Sesar wa CLOUDS fm Juu ya lAUNCHING ya Video yake..!! |
| Poz kwa Poz OMMY DIMPOZ & PRESIDENT HIMSELF ..! |
| Nikiojiwa na Sesar wa Clouds Tv Juu ya Uwepo wangu kwenye Launching Hiyo..! |
| Nani Amenuna....?? Aii Nasema Nani Amenuna.....?? |
| B12, TwangalaTwzzy toka Xxl ndo alikua anaongoza jahazi.... |
| New Crew in Town ya Madada 'SHOSTITO' wakimwaga Mauno Stejini...!! |
| Nikaanza kukinukisha kama kawaida yangu....!! |
| Kwanza nikaanza kuwalewesha.!! |
| aghaaa......!! |
| Baadhi ya umati uliokuwepo Maishani.....wingi wa watu ulichangia AC kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha...!! |
| It was Hoot......& Craeeyzzz Baby....!! |
| Dimpoz kwa Pozi...Super Handsome akaanza.....!! |
| Tukutane tena baadaee.... aiii Baadaee......... |
| Dimpoz kwa Pozi akiwauliza Mashabiki wake.....Niendelee Ama Nsiendele....?? |
| Oooh Me & You.....!! Dimpoz akiimba kwa Hisia mbele ya mashabiki waliofurika ukumbini umo....! |
| dah! Nafarijika sana nnapoona wananchi wanasupport wasanii wao...!! |
| Basi ndo Ule Utamu...Utamu....!! |
| Prince BrotherMan Dully Sykes Akizungumza na Mashabiki Bahada ya kumaliza\ kuwapa utamu....!! |
No comments:
Post a Comment