![]()  | 
| Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Paketi Money' | 
| Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko' | 
![]()  | 
| Uuuuwwwiiiii.....mwenzenu nafwa na kiuno hiki... haki ya nani siangalii tena! | 
![]()  | 
| Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili?MAMBO YA UMBEA MTUPU BLOG | 
![]()  | 
| Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu! | 
| Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko | 
| Mama weeee.....! Hii si mitego jamani? | 




No comments:
Post a Comment