Michelle Obama ni mama mwenye umri wa miaka 49 akiwa ni mke wa rais wa 44 wa Marekani pia akiwa ni first African-American First Lady of the United States, mtazame kwenye hii video akionyesha uwezo wake mwingine wa kudance kwenye Evolution Of Mom Dancing.
No comments:
Post a Comment