


Kama ulikua hujui ni kwamba wasanii
maarufu kutoka Nigeria P-Square wameamua kujiingiza katika uuzaji wa
mafuta. Walifunguka hayo kupitia mtandao wa twitter pia wakiambatanisha
na picha zao wakiwa katika moja ya ya sehemu za kutunzia mafuta. Mungu
awabariki sana.
No comments:
Post a Comment