ZIMBIO NI MTANDAO
MKUBWA DUNIANI AMBAO UNA DEAL NA MAISHA YA MASTAA NA NEWS ZA BURUDANI
KIUJUMLA... HIVI KARIBUNI WAMETOA LIST YA MASTAA PENDA NA WENYE MVUTO
ZAIDI DUNIANI... JAY Z AND BEYONCE AT THE FIRST SPOT.
RANK INAONESHA,,,, BRAD PITT AND JOLIE TAKING IT AGAIN THE SECOND SPOT.
MWANAMITINDO VICTORIA NA FOOTBALLER DAVID BECKHAM AT THE THIRD PLACE.
No comments:
Post a Comment