hivi ndivyo P-Square walivyoamua kununua ndege yao binafsi
Mapacha
wa kundi la P-Square wako kwenye mpango wa kununua ndege yao binafsi.
Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye makubaliano na kampuni ya ndege ambayo
huwapa ndege wanapohitaji kusafiria lakini sasa wanataka kununua ya
kwao. Katika safari zao nyingi, P-Square hutumia ndege binafsi ya kukodi.
No comments:
Post a Comment