HII INASHANGAZA LAKINI NI KWELI: ATEMBEA NA NYUMBA YAKE KWA MIAKA 5 AKIIBEBA. MCHEKI HAPA
Anaitwa
Liu Lingchao nimchina ambaye amekuwa akitembea kwa zaidi ya miaka
mitano sasa akiibeba nyumba yake mabegani na kuzunguka nayo kutoka
sehemu moja kwenda nyingine.
No comments:
Post a Comment