Picha: Jinsi marehemu Langa Kileo alivyozikwa jana (June 17)
Ndugu, marafiki, wasanii, watu mashuhuri na watu wa aina mbalimbali jana wamejumuika kwenye mazishi ya rapper Langa Kileo aliyefariki wiki
iliyopita kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Langa amezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni ambapo mazishi yake
yameongozwa na wazazi wake wote wawili. Hizi ni baadhi ya picha za
mazishi hayo. Kaka yake Langa na Baba yake Mzee Kileo Lady Jaydee akitoa heshima zake za mwisho M 2 THE P Mama mzazi wa Langa Aliyekuwa meneja wa Langa B12 na Petit Dada yake Langa Dr Cheni
Mdogo wake Langa Mwili wa Langa ukiombewa Mwili wa Langa kwenye jeneza wakati ukiagwa Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu Nikki Mbishi akitoa heshima zake za mwisho Rafiki wa Langa akilia kwa uchungu Rafiki wa Langa akilia kwa uchungu
Sauda Mwilima na Keisha Wazazi wa Langa Mungu ailaze roho ya marehemu Langa pepeni, Amen.
No comments:
Post a Comment