Ngoma ya Madee, Sio Mimi imeendelea kufanya vizuri kwa kupanda kwa nafasi moja hadi nafasi ya 2 kutoka nafasi ya tatu wiki iliyopita. Majanga ya Snura imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 5 wiki iliyopita hadi nafasi ya 5 wiki hii.
Wiki hii Bila Kukunja Goti ya Mwana FA na AY waliyomshirikisha J.Martins imeingia kwa kishindo kwenye MMC hadi nafasi ya 6 wiki hii huku My Baby wa Quick Rocka ikiingia kwa mara ya kwanza hadi nafasi ya 9.
Marimba Music Charts huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na chart za radio zote nchini.
Vyanzo vingine: DJ CHOKA BLOG: TOP 10 & BONGO 5
No comments:
Post a Comment