Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Wednesday, August 28, 2013

HUU NDIO MTANDAO MZIMA WA KUJIUZA MASHOGA TANZANIA, KWA KILA MKOA.

Baada ya Serikali ya Jamuuri ya Muungano wa Tanzania kukataa kuunga mkono suala la haki za mashoga na mahusiano ya jinsia moja kama nchi nyingine ulimwenguni zilivyo unga mkono suala hilo ili kupata misaada kutoka mataifa makubwa.

Moja ya picha ambayo inapatikana kwenye blog hiyo.
Basi mashoga nchini wameamuwa kuungana na kufunguwa blog yao ambapo wanajiuza na kutaja namna gani wanaweza kupata raha katika life style yao hiyo.

Blog hiyo inayoenda kwa jina la TANZANIAN GAYS NETWORK (TGN) wamekuwa na kupeana moyo na kupingana nakile ambacho serekali imekiamuwa kuto kuungana na tabia hiyo ya mapenzi ya jinsia moja.

Kwenye blog yao wameandika juu ya kuweza kujipa moyo, hiki ndicho walichokiandika.

"Tanzanian Gays Network is a social network to help gays in Tanzania to recognize themselves as the very precious people that are very oppressed by their government and need advocate to raise up their rights and voice. It is also a place to meet new people and share your interests and make new friends as well as relationships. Please be polite when posting here."

Wakimaanisha "TANZANIAN GAYS NETWORK ni mtandao wa kijamii ambao umekusudia kuwasaidia mashoga wa Tanzania kujitambuwa wenyewe kuwa ni watu wa pekee walio kandamizwa na Serekiali ya Tanzania, na uhitaji wa mwakilishi atakaye pigania haki zao.
Pia ni sehemu ya kukutana na watu na kubadilishana matakwa, kupata marafiki na kupata mahusiano."

Pamoja na maelezo hayo, wameweza kufanya connection ya kila mashoga kwenye mikoa waliyopo kwakuwaunganisha kwanjia ya page mbali mbali zinazo onyesha majina ya mikoa na kuwaruhusu wanao taka kukutana, kujiuza au kuwa kwenye mahusiano pasipo kujali umri, dini, kabila au cheo wakutana kwakupeana mawasiliano ya e mail na wakakati mwingine picha za utupu.

Blog hii inaelekea kuja kuwa na watembeleaji wengi kama ile ya 'Raha Tupu' na baadhi ya blog na page nyingine za facebook zinazo husisha masuala ya ngono. Imeshindikana kubainika wazi kuwa ni kweli Watanzania wengi huthamini mambo kama hayo au ninini hasa kinachopelekea kuwa na watembeleaji wengi.

 MUNGU INUSURU TANZANIA YETU

SOURCE: © 24Hours Mix | Infotainment site

Mrithi wa "Mr Ebbo" Kajoli Masai Ft Queen A-Kama Unanipenda

Unapomsikiliza "Kajoli Masai" Msanii anayewakilisha Arusha kwa kuimba style lafudhi ya kimaasai, Kwa haraka utamkumbuka marehem Mr Ebbo na hapa ameshirikiana na mwanadada Queen A katika ngoma "Kama Unanipenda" pata kuidownload HAPA na kwa mawasiliano check na Kajoli kupitia + 255 755 497 334 powered by www.vmgafrica.com

DUH, UMEISIKIA HII SKENDO YA DIAMOND KUIBA NYIMBO YA DAYNA? NI HII NYIMBO YAKE ANAYOPLAN KUACHIA. SOMA KILA KITU HAPA




Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha, nataka kulewa. Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma baada ya kusadikiwa wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna. hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond anaotaka kuachia. skiliza na pia waweza ku share na wenzio

STYLE HII YA KUCHEZA YA SHILOLE NI NOMA, SASA ANAWAFUKUZIA KANGA MOKO. CHEKI PICHA HAPA




picha zote kwa hisani ya:www.bongoclantz.com

LULU akifanya Shopping kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Filamu yake mpya ya Fullish Age

picha zote kwa hisani ya:jimmcarter.blogspot.com

Mrisho Ngasa aingia kwenye scandal nzito baada ya mkanda wake wa ‘faragha’ kuvuja mtandaoni

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya kile kinachoonekana kuwa mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni.
281570_174479702625656_6304894_n
Mkanda huo ambao ni rahisi kuuona kama mtu akigoogle jina lake, unamuonesha mchezaji huyo akiwa kwenye ‘suti yake ya kuzaliwa’ pamoja na msichana wakivunja amri ya sita.
Huku kukisikika muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa reggae, wapenzi hao wanasikika wakizungumza na kucheka wakati wakiendelea na tendo hilo.
Bado mchezaji huyo hajazungumza chochote kuhusiana na mkanda huo ambao inadaiwa kuwa unauzwa kama njugu mtaani.

chanzo : bongo 5

Wema Sepetu aongoza kura za waigizaji 10 wa kike wenye mvuto zaidi Tanzania

Jana tuliweka picha za waigizaji wa filamu 17 wa kike nchini na kuwaomba wasomaji wetu kumchagua ni yupi mwenye mvuto zaidi. Lengo lilikuwa ni kupata maoni ya wasomaji wenyewe ili kupata orodha ya waigizaji 10 wenye mvuto zaidi nchini. Tumetumia kura zilizopigwa kwenye website pamoja na kwenye mitandao ya Facebook na Twitter.
Hivi ndivyo matokeo yamekuwa:
1. Wema Sepetu

_DSC1059 (853x1280)
2. Jacqueline Wolper
9c805232db2b11e2954322000ae80d8d_7
3. Irene Uwoya

254f536aecbb11e2bd0222000a9e514f_7
4. Elizabeth Michael aka Lulu
BQWl05OCMAEZmNG
5. Warda Walid
warda
6. Skyner Ally
Skyner 2
7. Rose Ndauka
IMG_9680rrr
8. Aunt Ezekiel
Aunty-Ezekiel
9. Monalisa
bea0088aede111e2bdce22000aaa0927_7
10. Irene Paul
Irene-Bahati-Paul-534

chanzo: bongo 5

Tuesday, August 27, 2013

Young Killer afanya collable na msanii wa hip hop mwenye miaka 11

Msanii anaeiwakilisha Mwanza, kutoka Super Nyota 2012, "Young Killer"  amefanya collable na msanii mdogo wa hip hop (11) anaeiwakilisha Mwanza pia "Dogo D" 

Collable hiyo waliyoipa jina la "Bora tu nipate Bora tu nipate maadui" inategemewa kutoka wiki ijayo.

Dogo D ni msanii wa hip hop ambae licha ya kuwa na umri mdogo kiasi hicho ameshafanya collable na Roma (haijatoka) na tayari ana single ambayo inafanya vizuri  pande za Mwanza "Mungu Nipe" feat Abuu Mkali.

HIVI NDIO VIGEZO VYA DIAMOND, ANAVYOVITUMIA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.

"Ni maswali mengine nimekuwa nikijiuliza kwa siku
nyingi sasa lakini niliishia kupata majibu
mengi mengi lakini kutokana na hekima na ukarimu
niligundua ni vitu gani naweza fanya au
kuviona na kugundua namba moja wangu naeza akawa yupi.....
Binadamu tunapenda,tunatamani vitu vingi
sana lakini unaambiwa huezi tumikia
mabwana wawili kwa wakati mmoja,au nabidi uchague kusuka au kunyoa...

Binafsi napenda sana mtu muelewa na
mkarimu mwenye kusikiliza na kujielewa
lakini zaidi ya yote Nampenda sana Anaye
Shukuru na Kuridhika kwa Kidogo
akipatacho....Basi huyu ndiye namba
moja wangu ndani ya Moyo wangu...!!
Mimi ninaye Tayariii.........Swali kwako nakuachia
mtu wangu wa kweli.....Je wewe
Number one wako unapenda aweje....? ni
vitu gani wapendelea toka kwake...?
Ebu Funguka basi nijue wapendelea nini mtu wangu" Diamond

ULISHAWAHI ICHEKI BEHIND THE SCENE YA TITANIC....? KAMA BADO BASI ZICHEKI PICHA HAPA

Ukisikia jina ili TITANIC  basi kwa wale wapenda filamu za ughaibuni
basi lazima wanajua utamu na uchungu
wa filamu hii iliyotoka mwaka 1997.


Titanic iliyoigizwa na Mastaa kadhaa  kutoka Hollywood ikiongozwa na
Director nguli nchini Marekani James Cameroon akiwa
na Staring Leonardo Dicaprio na mwanadada
mshindi wa Oscar Katie Winslet lakini hapa nipo
kukuonesha jinsi ya ufundi wa Director
James alivyotumia ujuzi wake kututengenezea filamu hii....
Unaweza ukawa ushawahi ziona picha hizi lakini hapo
 nakuchambulia kiundani zaidi
zicheki picha 20 uone kila kilichojiri ndani ya
utengenezaji wa Filamu hiyo iliyoshinda
Tuzo za Oscar na Grammy mnamo august mwaka 1998.....

Mwongozaji James Cameroon akiwa na Leonardo Dicaprio