WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao
 za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo 
aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii 
Steve R&B,
Chanzo
 makini cha Risasi  kimewasilisha folda lenye picha za kutosha
 za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake 
kujipiga mwenyewe picha hizo.  
Kwa
 sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho kipo  
aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia
 yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, 
kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”
  Kikiendelea  ufunguka zaidi, 
chanzo hicho kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani
 kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es 
Salaam, ambapo alikuwa akiishi naye.
KAULI YA  SAPNA.....
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua.
“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.
“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.








0 comments:
Post a Comment