the HOOD InfoTainment
INFORMATION AND ENTERTAINMENT
Pages - Menu
(Move to ...)
Home
Videos
Contacts us
Advertisinment
Music
▼
Saturday, March 2, 2013
KUFURU NYINGINE HII HAPA, ANGALIA PICHA ZA KHANGA PARTY. HIVI TUNAENDA WAPI?
Wasanii wanaounda kikundi cha 'Khanga Moja', wakionyesha umahiri wao wa kucheza miondoko ya taarab wakiwa na khanga moja tu,
i kumwaga radhi tu ukumbini hapo kila mmoja akionyesha uwezo wake wa kuzungusha mauno kwa staili zake na uwezo wake woooote.
Rapa wa kundi la Taarab la Jahazi Morden, Juma Said 'Domo Kaya' akiwachezesha madada hao wa Khanga Moja jukwaani.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment