Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Friday, September 14, 2012

DMX AMEMCHANA DRAKE TENA, HII NDIO STORI YENYEWE.

.
DMX kapanda on air tena na kumchana rapper Drake ambae siku kadhaa zilizopita alirekodi kolabo na sauti ya marehemu Aaliyah.

Thursday, September 13, 2012

Kiasi Kilichopatikana Hada Sasa Harambee Ya Mjane Wa Daud Mwangosi;

 

1. Chris Cremence                                     100,000
2. Anonymous                                             500,000
3. Maggid Mjengwa                                     100,000
4. Raymond Kasoyaga                                   20,000
5.Edward Mgogo                                            10,000
6.Joachim Kiula                                                5,000
7.Libory Muhanga     

Monday, September 10, 2012

KALAPINA AJA NA FILAMU YA TUKIO LA DR ULIMBOKA


Rapper aliyepotea kwenye ramani ya muziki wa Tanzania, Kalapina, yupo kwenye hatua za mwisho za kuanza kushoot filamu

USIKU WA MUONEKANO WA DHAHABU SERENGETI FIESTA MKOANI SINGIDA

           Cyril ni moja kati wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika serengeti fiesta mkoani singida.

Sunday, September 9, 2012

TAARIFA KAMILI KUHUSU P SQUARE KUSHITAKIWA.

 Posted: 9th September 2012 by Yusha Shabani
P Suare na Akon.
Unakumbuka ile kolabo ya P Square na Akon inaitwa Chop my money ambayo ilimfanya May D kuwa staa zaidi baada ya kuongezwa kuwa mtu wa nne kusikika kwenye hiyo single?
kama hufahamu May D ni msanii wa Nigeria ambae alisainiwa kuwa chini ya lebo inayomilikiwa na P Square (Square Records) ambapo ni siku kadhaa zimepita toka lebo hiyo itangaze kwamba haimuhitaji tena na wala hayuko tena chini yao.
Leo mtandao wa Naijag umeripoti kwamba May D ambae alitimuliwa na lebo hiyo wiki kadhaa zilizopita yuko kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na wanasheria wake ili awashitaki P Square kwa kuvunja mkataba kiholela.
May D anasema taarifa za kutimuliwa kwake alizipata kwenye blogs na magazeti kama walivyopata watu wengine na kwamba hakupewa taarifa zozote za kiofisi kama inavyopaswa, hiyo ndio sababu inayomfanya awashitaki P Square akiwemo kaka yao mkubwa Jude Okoye ambae ndio alitangaza kuuvunja mkataba wa May D.
.

Saturday, September 8, 2012

Harambee Ya Mjane Wa Daud Mwangosi; Waliochangia, Namna Ya Kuchangia Na Kiasi Kilichopatikana Hadi Sasa...


1. Chris Cremence                                     100,000
2. Anonymous                                             500,000
3. Maggid Mjengwa                                     100,000
4. Raymond Kasoyaga                                   20,000

FUNIKA BOVU LA FSERENGETI FIESTA JANA.

Mmoja wa wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop hapa nchini,Mwana FA akiwaimbisha wakazi wa mji wa Tabora wimbo wake wa Yalaiti,usiku wa kuamkia

MAAMUZI YALIYOFIKIWA NA SERIKALI BAADA YA WAISLAM KUANDAMANA.

Posted: 8th September 2012 by yusha shabani
                  Maandamano yenyewe (picha kutoka hakingowi.com)

Zaidi ya waumini mia tatu wa dini ya kiislam jana september 7 waliandamana mpaka Wizara ya mambo ya ndani wakishinikiza jeshi la polisi kuwaachia baadhi ya viongozi wa kiislam waliokamatwa kwa kupinga zoezi la sensa.

Thursday, September 6, 2012

Video| Samale-Mzungu wa nne.(Official Video)

Video| RICO SINGLE-MADEMU WAZURI OFFICIAL VIDEO from ZANZIBAR TANZANIA

Saturday, September 1, 2012

MCHOMVU APATA SHAVU LA KUWA JUDGE KATIKA FANALI ZA NOKIA

Adam mchomvu
Among of hottest show in town double XXL kutoka The people station clouds fm namzungumzia Baba john au Adamu mchomvu amepata shavu la kuwa the judge katika mashindano ya nokia don’t break the beat ambayo

FUNIKA BOVU MUSOMA SERENGETI FIESTA 2012

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoriki, akiwajibika mbele ya mashabiki wake, kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya Viwanja vya Karume mjini Musoma usiku wa kuamkia leo.

ALICHOKISEMA MARLAW KUHUSU HIKI KILICHOANDIKWA NA GAZETI KWAMBA AMESHINDWA KUZAA.

Posted: 1st September 2012 by Yusha.

AY ndani ya Categories 3 kwenye tuzo za CHANNEL O (CHOMVA12)

AY msanii kutoka TANZANIA ameingia kwenye tuzo za Channel O Music Video Award 2012 akiwa kwenye sehemu 3, sehemu hizo ni pamoja na
Most Gifted Video of the Year

Most Gifted East African video of the Year

Most gifted male video of the year