Mimi binafsi nimeshahudhuria shoo nyingi za hawa akina dada kwa lengo la
kusaka habari huko nimeona mengi ambao mengine si rahisi kuyaanika hapa
kutokana na maadili yetu lakini kifupi kinadada hawa wanachofanya mungu
atunusuru
Kina dada hawa ambao uchezaji wao hauna tofauti sana na wale wachezaji
wa casino maana huvaa kanga moja huku ndani wakiwa wamevaa bikini mfano
wa kamba nyembamba kama uzi kisha huimwagia maji au bia na ikishalowa
kabisa huyaanika maungo yao wazi kabisa huku mwenzie akimuingizia chupa
nyuma na kisha kuiachia ikisha ingia na mchezaji hucheza nayo na mara
nyingine huikalia kwa staili ya kimahaba kana kwamba kakalia mwanume,
Na mara nyingine katika uchezaji wao watu hujikuta wanaona nyuchi zao
ila wao hawajali hulewa na sifa za makelele na kujikuta wakiendelea na
shoo.
Utafiti wa mtandao huu umebaini kuwa kina dada hawa licha ya kazi
ngumu waifanyayo hulipwa ujira mdogo sana ambao haufiki hata laki moja
ila kutokana na ugumu wa maisha wamejikuta wakilazimika kufanya kazi
hiyo bila kujali
Akizungumza na mtandao huu juzi baada ya shoo waliyofanya na diamond huko bukoba mmoja wa akina dada hilo ambaye hakupenda kutajwa hapa kutokana na kuogopa ataonekana kuwasaliti wenzie alilonga na blog hii pendwa na kusema,Unajua kaka sisi si kama tunapenda kufanya hii kazi ila ugumu wa maisha ndio umetufikisha hapa maana ukituambia tuache hii kazi inamaana unatuambia tukajipange kinondoni makaburini mwananyamala au buguruni kujiuza kitu ambacho sisi tumeshindwa ndio maana tunajitafutia riziki zetu za halali alisema mwadada huyo mapepe kupindukia,mwandishi wetu alipomuhoji wao wanaifundisha nini jamii kwakucheza vile alisema kuwa wao wapo kazini sasa haamini kama mzazi anaweza kwenda sehemu kama ile na mtoto wakati ameshaambiwa kanga moja watakuwepo au wewe kama hupendi shoo shoo hizi sidhani kama utakuja.
Baada ya maswali kadhaa mtandao huu ulitaka kujua wanalipwa kiasi gani kwa shoo ambapo dada huyo alisema Unadhani
hata tunalipwa pesa nyingi sana basi pesa yetu ni kama elfu hamsini kwa
kila mtu mmoja kwa shoo ila tukisafiri mikowani ndio tunarudi na pesa alisema mwanadada huyo bila kufafanua wanarudi na pesa kivipi
Hii ndio moja ya kazi za dada zetu siku hizi iliyochukuwa umaarufu sana
nchini kwa kuteka watu wengi katika shoo zao na kufanya makundi ya namna
hiyo kuibuka kila kukicha kwani ni kama wadau au wawekezaji wa sehemu
za starehe wamegundua biashara hiyo inawalipa bila kujali madhara kwa
taifa hili maana uchezaji wao wakuwekeana chupa ni sawa nakudhihirisha
kuunga mkona vitendo vya ulawiti au ushoga.
Makundi mengine ya dizaini hiyo ni kama Kitu Tigo,Wela Wela,kundi la
msanii wa filamu na muziki Shilole Classic, na lile la Sunura Mush
ambaye pia ni msanii wa filamu alimfuata shilole katika muziki huo.
na weza pata wapai ama kunua hi video
ReplyDelete