Astaghafirullahi.... hii sasa noma. Uchezaji huu wa mnenguaji mmojawapo wa akina 'Kanga Moko' nd'o uliomchefua mbunge hadi akalalamika bungeni. |
Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Poketi Money' |
Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko' |
mmmmmh |
Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili? |
Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu! |
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko |
jionee mwenyewe |
noma xana
ReplyDeletehatareeeee
ReplyDeleteNi vema maadili ya Kitanzania yaheshimiwe
ReplyDelete