Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Monday, November 19, 2012

KAMA ULIMISS PICHA ZA RED CARPET YA CHANNEL O HIZI HAPA

Kama wewe ulimiss kuangalia Channel O Music Video Awards mwaka huu siku ya Jumamosi huko nchini South Africa basi hii ndio time yako ya kuangalia jinsi mastaa mbalimbali walivyotisha katika Red Carpet!!!!!!!!!!!

MaEezy from Teargas. Looks like delelas are back.
I love this dress..
DJ Zinhle reminding us why we need to go to the gym…
Nigerian artist, Mo Cheddah.


DJ Cleo please shave tuu?
Or do I need to get Mandoza’s bodyguard to make you do it…

Ice Prince (left) the Oleku/Superstar hitman co hosted the show with Bonang
Moruti Kabelo Mabalane was one of the presenters…
DJ Cleo le Mandoza…
wild Channel O Presenter Denrele
DJ Switch  on some “bosso ke mang”swag
Wildin it out
I still haven’t forgiven Vimbai for mistreating Karen in the big brother house…
Not sure about these shoes with that but she’s pretty…
On that bridesmaid swag…
Channel O’s SK looking fresh as always…
I wonder if he was signing an autograph?
More red carpet fashion looks…
…poses…
Jokate
Yeah…

Wednesday, November 14, 2012

HATIMAE MTOTO ANETH SASA AENDELEA VIZURI BAADA YA KUKATWA MKONO WA KUSHOTO JANA

MTOTO ANETH AKIWA ANAENDELEA VIZURI BAADA YA KUMKATA MKONO WAKE WA KUSHOTO JANA
ANETH AKUTAYARISHIWA CHAKULA NA MAMA YAKE MDOGO SLIVIA ANAEMUHUDUMIA HOSPITALINI HAPO
KWA UJUMLA MTOTO ANETH SASA ANAENDELEA VIZURI NA ANAKULA CHAKULA VIZURI PIA TAARIFA TULIZOPATA MUDA SI MREFU MAMA YAKE MZAZI YUPO NJIANI KUJA MBEYA TOKA KAGERA

KIPINDI CHA POWER BREAKFAST CHAMZAWADIA MENEJA WA OMMY DIMPOZ TIKETI YA NDEGE....


Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm kimemzawadia Meneja wa Ommy Dimpoz Mubenga Tiketi ya ndege Go and Return kama zawadi yake ya siku yake ya kuzaliwa....Birthday ilifanyikia
New Maisha Club.
Dimpoz,Halima Kimwana & Fetty

Tuesday, November 13, 2012

Dk. Margaret Mhando afanya ukaguzi wa Ujenzi wodi pamoja na mabasi ya wagonjwa wa Fistula CCBRT.

 
 Mkurugenzi  wa kitengo cha huduma za jamii wa Vodafone group, Andrew Dunnet akikagua moja ya mabasi yatakayo tumika kubeba wagonjwa wa Fistula, mabasi hayo yamenunuliwa katika mpango wa kupambana na Fistula uliochini ya CCBRT, Wizara ya Afya na Vodafone uliozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Februali 25.
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya walemavu ya CCBRT, Dr. Wilbroad Peter Slaa akimuonyesha maendeleo ya ujenzi Mkurugenzi wa kitengo cha huduma za jamii wa Vodafone group, Andrew Dunnet wakati alipofanya ukaguzi wa wodi za hospitali hiyo kabla ya kukabidhiwa kwa Rais Dk, Jakaya Mrisho Kikwete mapema mwezi huu.
Mkurugenzi wa Kitengo cha huduma wa Vodafone Group, Andrew Dunnet akisikiliza maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi Kutoka kwa Mtaalamu wa Masuala ya Ujenzi wa Hospitali Tom Bourel wakati alipofanya ukaguzi wa ujenzi wa wodi za wagonjwa wa fistula kabla ya kukabidhiwa kwa Dk. Jakaya Kikwete mapema Mwezi huu, Pamoja nao ni Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT, Dk. Peter Slaa.
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Margaret Mhando, akipokea zawadi kutoka kwa moja ya wagonjwa wa Fistula wanaotibiwa katika hospitali ya CCBRT wakati alipofanya ukaguzi wa wodi mpya za wagonjwa wa fistula kabla ya kukabidhiwa kwa Rais. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja nae ni Mkurugenzi  wa Idara ya huduma za jamii wa Vodafone group, Andrew Dunnet.
Mkurugenzi wa Kitengo cha huduma wa Vodafone Group, Andrew Dunnet akisikiliza maelezo kutoka kwa moja ya wauguzi wa wodi za wagonjwa wa Fistula wa hospitali ya CCBRT, alipofanya ukaguzi wa wodi hizo kabla ya kukabidhiwa kwa Rais, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete mapema Mwezi huu. Pamoja nao ni Mwenyekiti wa Bodi ya hospitali hiyo. Dr Wilbroad Peter Slaa.
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma za jamii wa Vodafone group, Andrew Dunnet akiwapiga picha kupitia simu yake ya mkononi watoto wanaotibiwa katika Hospitali ya CCBRT Dar es Salaam wakati alipofanya ukaguzi wa wodi za wagonjwa pamoja na Mabasi ya wagonjwa wa Fistula kabla ya kukabidhiwa rasmi kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma za jamii wa Vodafone group, Andrew Dunnet akifurahi pamoja na watoto wanaotibiwa katika Hospitali ya CCBRT Dar es Salaam wakati alipofanya ukaguzi wa wodi za wagonjwa pamoja na Mabasi ya wagonjwa wa Fistula kabla ya kukabidhiwa rasmi kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Jakaya Mrisho Kikwete.

Wednesday, November 7, 2012

SHIRIKA LA KAZI DUNIANI(ILO) LIMETOA SEMINA NA VYETI KWA WANACHUO CHA HABARI ARUSHA (AJTC) MAPEMA JANA


Muendesha mada Mr. Bill Mushi (mfanyabiashara maarufu Tanzania na Marekani)ambaye alikua kiuvutio kwa wengi, akitoa mada mbele ya wanachuo.
mkurugenzi wa mafunzo AJTC kutoka kushoto Bw Joseph Mayagila akiwa na mkufunzi wa chuo hicho Mr. Ngobole wakifuatilia kwa umakini semina hiyo
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari (AJTC) wakifuatilia kwa umakini kile kinachoeleza na mtoa mada

mtangazaji wa TAZAMA TZ Bw. Msechi akiambatana na wanafunzi wa KILIMANJARO FILM (hawapo pichani) nawao pia wamepata fursa ya mafunzo hayo.
vinywaji navyo vilikua ni sehemu moja wapo ya wanasemina angalau kupooza koo.
Director wa MUX MUM PRODUCTION Bw. James Ulomy ambaye pia ni mwanafunzi wa Diploma chuoni hapo akichukua kinywaji na keki
Bw. Amiry Omari (mbele) alifuatana na Charles Kikoricho  Mtangazaji wa MJ FM kuchukua vinywaji. Kushoto ni Bw.  Stanley ambaye  ameandaa  semina hiyo.
Vyeti navyo wanasemina hao walivipata papohapo. Bi Sakina Jumbe mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika ngazi ya Diploma ya uandishi wa habari akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Mafunzo AJTC
mwanafunzi wa ngazi ya cheti cha juu cha uandishi wa habari na utangazaji Bi. Fatuma akipokea cheti
Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA blog (www.victormachota.blogspot.com) Mr. Victor Machota akipokea cheti hiko kutoka ILO
CEO wa Wazalendo 25 Blog (www.wazalendo25.blogspot.com) akipokea cheti kuhitimu semina.
Mkurugenzi wa the HOO infotaiment YUSUF SHABANI akipokea cheti baada ya kumaliza mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na Shirika la kazi Duniani (ILO-SIYB) pamoja na mashirika mengine kwa dhumuni la kuwafundisha wanahabari wanafunzi kujitambua wao ni nani na wanafanya nini na wanamchango gani katika jamii kwa hiki kizazi cha habari na mawasiliano.
cheti chenyewe hiki hapa...

Tuesday, November 6, 2012

WAWILI WAJERUHIWA NA BODABODA YATEKETEA KWA MOTO USIKU WAKUAMKIA LEO MAENEO YA NJIA PANDA ILOMBA MBEYA

Pikipiki ya abilia zijulikanazo kama bodaboda ikiteketea kwa moto baada ya kugongwa na gari aina ya Isuzu tiper mari ya RRM ambayo imemekimbizwa eneo la tukio gari hiyo iliyozingonga bodaboda na gari aina ya toyota harrier

LIVE UPDATE: HALI YA BADILIKA GHAFLA OBAMA AONGOZA ELECTORAL VOTE DHIDI YA ROMNEY

LIVE UPDATE: HATIMAYE GAME LIMEBADILIKA GHAFLA OBAMA ANAONGOZA KWA ELECTORAL VOTES OBAMA 172 NA ROMNEY ANA 163 .. HIZI NI KURA ZITA AMUA NANI KUWA RAIS.. Stay turned @ the HOOD infotainment
 

SAJUKI,WASTARA WATINGA BUNGENI



Baada ya kuponywa na maradhi yalimtesa kwa muda mrefu jana msanii maarufu wa filamu nchini Juma Kilowoko 'Sajui' aliibukia bungeni kwa lengo la kuwashukuru wabunge waliochangia kufanikisha matibabu yake India

Sajuki aliongozana na mke wake Wastara Juma ambaye pia ni mmoja wa waigizaji nyota katika tasnia ya filamu nchini

Ujio wa nyota hao ulitangazwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda baada ya kipindi cha maswali na majibu bungeni
"Ninawaona wageni wa muheshimiwa Amos Makalla, Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, hawa si wengine ni Juma Kilowoko na Wastara Juma" alisema

"Huyu Juma Kilowoko jina lake la kisanii ni , (wabunge walitaja kwa sauti za juu ni Sajuki) aah kumbe mnalijua , amekuja kuwashukuru wabunge kwa kumchangia matibabu yake "alisema Makinda huku akisindikizwa na makofi kutoka kwa wabunge mbalimbali

Monday, November 5, 2012

HUYU NDIYO MISS TANZANIA 2012


 Brigitte Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa  miss Tanzania 2012  jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
 Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati)katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester, Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni wakati, Eugene Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa, Edda ni Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.


Waendesha shughuli Jokate pamoja na Taji Liundi.

Credit to Mrokim kwa kupiga picha hizi.

Watakaofeli kidato cha pili kutimuliwa

 
WAKATI Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Pili ukianza leo nchini kote, Serikali imesema kuanzia sasa, mtihani huo utakuwa ni wa mchujo kuanzia sasa, hivyo atakayefeli atatimuliwa.

Saturday, November 3, 2012

CLUB MPYA YA WAANDISHI WA HABARI JBC. YAZINDULIWA RASMI ARUSHA JOURNALISM.


mwenyekiti wa JBC Bw. Mathayo Saruma akitete jambo na mgeni rasmi kabla ya kuingia ukumbini.