Muendesha mada Mr. Bill Mushi (mfanyabiashara maarufu Tanzania na Marekani)ambaye alikua kiuvutio kwa wengi, akitoa mada mbele ya wanachuo. |
mkurugenzi wa mafunzo AJTC kutoka kushoto Bw Joseph Mayagila akiwa na mkufunzi wa chuo hicho Mr. Ngobole wakifuatilia kwa umakini semina hiyo |
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari (AJTC) wakifuatilia kwa umakini kile kinachoeleza na mtoa mada |
mtangazaji wa TAZAMA TZ Bw. Msechi akiambatana na wanafunzi wa KILIMANJARO FILM (hawapo pichani) nawao pia wamepata fursa ya mafunzo hayo. |
vinywaji navyo vilikua ni sehemu moja wapo ya wanasemina angalau kupooza koo. |
Vyeti navyo wanasemina hao walivipata papohapo. Bi Sakina Jumbe mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika ngazi ya Diploma ya uandishi wa habari akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Mafunzo AJTC |
mwanafunzi wa ngazi ya cheti cha juu cha uandishi wa habari na utangazaji Bi. Fatuma akipokea cheti |
Mkurugenzi wa ASILI YETU TANZANIA blog (www.victormachota.blogspot.com) Mr. Victor Machota akipokea cheti hiko kutoka ILO |
CEO wa Wazalendo 25 Blog (www.wazalendo25.blogspot.com) akipokea cheti kuhitimu semina. |
Mkurugenzi wa the HOO infotaiment YUSUF SHABANI akipokea cheti baada ya kumaliza mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na Shirika la kazi Duniani (ILO-SIYB) pamoja na mashirika mengine kwa dhumuni la kuwafundisha wanahabari wanafunzi kujitambua wao ni nani na wanafanya nini na wanamchango gani katika jamii kwa hiki kizazi cha habari na mawasiliano. |
cheti chenyewe hiki hapa... |
0 comments:
Post a Comment