Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Story za wakali wa majuu

Burudani| Video| Tracks na Maisha yao.

Bongo Movie na wasanii wake kwenye maisha yao

News Movie| New Story| New Skendo.

Mafanikio

Story za walio vuka boda na mafanikio yao kama wajasiria-mali.

Elimika na Burudika

Life ya wasio na skendo na wenye skendo| Mafanikio yao na vioo wa jamii.

Friday, April 12, 2013

BAADA YA UWOYA KUNASWA HOTEL AKIWA NA DIAMOND, RAISI WA BONGO MOVIE ASEMA UWOYA SIKIO LA KUFA


RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba amefungukia ishu ya msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni mke wa mtu, Irene Uwoya kunaswa hotelini na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema mdada huyo ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa.
Akizungumza kwa uchungu na paparazi wetu, Mwakifwamba alisema Uwoya hajitambui wala hajiheshimu kwani ni siku chache tu alirudiana na mumewe Hamad Ndikumana lakini inashangaza kunaswa akiwa na Diamond hotelini.
“Uwoya anatakiwa kujitambua kuwa ana nafasi gani katika jamii pia kwenye ndoa yake kwani maisha anayoishi siyo mazuri na yanatia aibu familia na tasnia nzima ya filamu hivyo abadilike,” alisema Mwakifwamba.
 
CHANZO GPL

WHITE HOUSE YAMKANA JAY Z, HUENDA AKAENDA JELA YEYE NA BEYONCE. HIKI NDO WALICHOKISEMA


Hivi karibuni Jay Z na Beyonce walisafiri kuelekea Cuba kusherekea miaka mitano ya ndoa. Jay Z amekuwa akisumbiliwa sana na waandishi wa habari kuhusu kibali chake cha kwenda cuba.
Jay Z aliamua kutoa nyimbo mpya inayoitwa “open letter” ili kutoa maelezo vizuri kwa watu wote kuhusu kibali chake cha kwenda cuba.

Kwenye nyimbo hiyo hapo juu rapper huyo alisema “I done turned Havana into Atlanta. Boy from the hood, but got White House clearance.
Obama said ‘chill you gon’ get me impeached. You don’t need this shit anyway. Chill with me on the beach.’”

White House wamemjibu Jay Z na kusema kwamba
“Treasury offers and gives licenses for travel as you know and the White House has nothing to do with it.
I am absolutely saying that the White House from the President on down, had nothing to do with anybody’s travel to Cuba. That is something The Treasury handles.”

MWANZO: www.bongoclantz.com

SUPER STAR WEMA SEPETU AMFUNGULIA MASHITAKA POLISI MAMA YAKE MZAZI!!


NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na kufanya vurugu zilizosababisha kuharibika kwa samani mbalimbali....

Kwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilijiri usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, jijini Dar.

Mbali na mama mtu, wengine waliofikishwa kituoni hapo ni dada mkubwa wa Wema aitwaye Nuru na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Bestizo ambaye inasemekana ni mshirika mkubwa wa Diamond kwenye masuala ya mtandao wa msanii huyo.

“Wema alikuwa nyumbani kwake usiku huo, watuhumiwa hao wakamzukia na kuanza kumchapa makofi ya ‘kelbu’ ambapo katika mshikemshike huo, baadhi ya vitu vilivunjika na kumtia hasara staa huyo,” kilisema chanzo.

Haikujulikana mara moja ni kitu gani kilisababisha mama mzazi huyo, dada mtu na kijana asiyekuwa ndugu kwenda kwa Wema na kutenda kosa hilo.

Wema alikwenda polisi na kuandikisha maelezo ambayo yameingizwa kwenye jalada lenye kumbukumbu; KJN/RB/2755/2013 SHAMBULIO, KUHARIBU MALI
Chanzo: www.mpekuzihuru.com

Reebok wampiga chini Rick Ross kutokana na mashairi yanayosifia ubakaji

See-Rick-Ross-Live-in-Las-Vegas-with-Reebok-Classics
Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na mashairi ya kupromote ubakaji unaitwa “U.O.E.N.O.”
Katika maelezo iliyoutumia mtandao wa TMZ, Reebok imesema:
“Reebok holds our partners to a high standard, and we expect them to live up to the values of our brand. Unfortunately, Rick Ross has failed to do so.
While we do not believe that Rick Ross condones sexual assault, we are very disappointed he has yet to display an understanding of the seriousness of this issue or an appropriate level of remorse.” Rick-Ross-Gets-Dumped-By-Reebok-4
Kwenye “U.O.E.N.O,” Ross anarap: “Put molly all in her champagne, she ain’t even know it. I took her home and I enjoyed that, she ain’t even know it.”
Mapema mwezi huu Ross aliomba radhi ya juu juu kutokana na mashairi yake kwa kutweet: “I dont condone rape. Apologies for the #lyric interpreted as rape. #BOSS”
Baada ya masaa mawili alijaribu kuomba msamaha tena: “Apologies to my many business partners, who would never promote violence against women. @ReebokClassics @ultraviolet”

CHANZO: bongo5

Tuesday, April 9, 2013

Lady Jaydee kufanya tukio kubwa katika historia ya maisha yake kimuziki

Lady Jaydee
“Wapenzi na mashabiki wa LADY JAYDEE hii ni kwaajili yenu, tarehe, muda na sehemu mtapatiwa taarifa siku si nyingi.. Tunahitaji support yenu itakuwa ni zaidi ya ileeeeeee ya miaka 10 ya JIDE..Hutakiwi kuikosa, iweke akilini na ujiweke tayari,” ameandika Lady Jaydee.
Miaka 13 ya Lady Jaydee kwenye muziki hakuna shaka itakuwa bonge moja la concert.

hivi ndivyo P-Square walivyoamua kununua ndege yao binafsi

Mapacha wa kundi la P-Square wako kwenye mpango wa kununua ndege yao binafsi. Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye makubaliano na kampuni ya ndege ambayo huwapa ndege wanapohitaji kusafiria lakini sasa wanataka kununua ya kwao.
169503c8527a11e28ed022000a1fbc58_7
Katika safari zao nyingi, P-Square hutumia ndege binafsi ya kukodi.
ca0f0be2528411e2a76e22000a9f1968_7
d1480bdc527c11e2b7d622000a1f968a_7

 

John Cena amgaragaza The Rock na kuwa bingwa wa WWE

Picha: WrestleMania XXIX –

Mashabiki wa John Cena wamefurahi wiki hii baada ya juzi (7 April) kumshinda mpinzani wake Dwayne “The Rock” Johnson kwenye WrestleMania XXIX.
wrestlemania-xxix-01
wrestlemania-xxix-02
wrestlemania-xxix-03
Kutokana na ushindi huo, Cena kwa sasa anashikilia ubingwa wa WWE. The Rock alikuwa akijiamini sana kabla ya mechi hiyo kwa kutweet, “Its on. Biggest #Wrestlemania of all time. Greatest night of my career.”
wrestlemania-xxix-04
wrestlemania-xxix-06
wrestlemania-xxix-07
wrestlemania-xxix-08
wrestlemania-xxix-09
Baada ya mechi hiyo, kupitia Facebook leo The Rock ameandika:
“Sometimes you pay the price..Midway thru my Wrestlemania match I tore my Abdominal & Adductor tendons off my pelvis. Yeah.. that shit hurt.;)
Thank you Dr Lee Kaplan & Univ of Miami medical staff for the exceptional work. Rehab starts in 3..2.. BRING IT.”

Monday, April 8, 2013

CHID BENZ AZINGUANA NA PRODUCER LUCCI BAADA YA KUTAKA KUREKODI WIMBO BURE


page


Rapper Chidi Benz na producer Lucci wameingia kwenye mgogoro baada ya kutofautiana katika makubaliano ya wimbo walioufanya pamoja. Chidi anamlaumu Lucci kwa kubadilisha msimamo wake ambapo alidai kumfanyia wimbo huo bure.Chidi Benz na Lucci wametumia Twitter kulizungumzia suala hilo kama ifuatavyo:


Chidi Benz: Unachofanya c sawa.usipindishe maneno na usifoc makubaliano.siku tunarekod hukusema khs mkwanja,ulisema tufanyeni kazi.u mi n kk


Lucci: Ofisi na simu zipo, KWELI kuna haja ya kuhusisha watu zaidi ya 7,000? Kwani walikwepo tukifanya kazi? B professional and call me


Chidi Benz: Unahisi hio ni point koz unajaribu kutafuta points.tym tunarekod ulitweet na ukifurahia.mnakimbiliaga huku mwisho.mimi m real. Professional ni wewe kuchange deal,hatuna lazima ya hio kazi but haukua mpango uliopangwa,tumetumia energy.Tamaa imekubadilisha.


Lucci: Kwani mimi sijatumia energy?!? Mara ngapi nimekuambia uje ofisini tuandikishane makubaliano? Hata vya BURE hua na maandishi.


Chidi Benz: Hakukuwa na bure,hatukutaka koz hatukuingia na force kwenu wala hatukuvunja mlango.thou ulituelekeza studio ilipo.Nakuona…


Lucci: Ulitumiwa email ya mkataba na ofisi yangu @TransforMaX_R HUKUJIBU wala hukusema terms unazotaka. JE, nifanye lipi la ZIADA?


Chidi Benz: Unafanya kazi ndio unapewa mkataba au unapewa mkataba kisha unafanya kazi? KK ananambia khs mkataba na mi sina mail. Studio ipo kwenu ndani chumbani I thnk pale,unahisi mtu anaweza toka Ilala na hajui terms zako?hajui anakuja kufanya nini?


Lucci: Cha msingi ni mkataba, na hicho ndiyo kilio changu. Chumbani, Jikoni, kote kazini.

HII NDIO PICHA YA UTUPU ALIYO PIGA MSANII NICK MINAJ KWAJILI YA GAZETI LA KING'S MAGAZINE

Nick Minaj totally went nude for King's Magazine in the USA, and definitely she would be paid top dollar for this, please photo is for adults only.

ANGALIA PICHA WADADA WALIO NASWA WAKIWA WAMEVAA MAKALIO BANDIA



hapa wowowo ndio lmevaliwa..
tobaaaa!!! hapa linachungulia, afu huyu kama alicia keys!! ebu mdau wangu nisaidiee..
tobaaa!! wowowo la dada likaonekana eheheh...
diiihhh!!! siongei kituwh!!

huyu limempendeza eti eeh!!
awww!!!
dooh!! asa hili ukiwa unacheza taarab si linakuwa ata kutingisha alitingishiki?? unabaki kuwa na wowowo kama chuma vile..!!
mwe!! hapa hips lilimgomea dada, likatokea hips moja ahahhah
mwe!
uthingidhiiiii!!!

ANGALIA HAPA JINSI LULU ALIVYOTEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NA KUKUTANA NA MAMA KANUMBA.


Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki

Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba

Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo

O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu.


Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua

Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae

Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.


Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni

Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,

R.I.P Steven Kanumba

source: jestina-george.com

KAJALA NA AUNT EZEKIEL WAFANYA MAMBO YA AIBU HADHARANI, WAKIASHIRIA VITENDO CHA USAGAJI


KAJALA KULIA

 

Saturday, April 6, 2013

UMEKUA UKISIKIA STORI ZA BEEF KATI YA T.I.D NA OMMY DIMPOZ? KILICHOTOKEA MAISHA CLUB APRIL 5 USIKU NDIO HIKI

t.i.d kapiga picha na Ommy Dimpoz Maisha Club usiku april 5 2013 asema hakuna beefkama umekua ukiwafatilia hawa mastaa wawili, stori kwamba hawapatani toka Ommy Dimpoz alipoondoka Top Band itakua sio mpya kwako.
Ommy ameripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa muda mrefu kutokua na uhusiano mzuri na T.I.D toka alipotoka kwenye hiyo band.
T.I.D Ommy na Mwisho Mwampamba.
T.I.D Ommy na Mwisho Mwampamba.

Baada ya hayo yote, jana April 5 2013 T.I.D akiwa Maisha Club sehemu ya V.I.P alimuita Ommy Dimpoz na kupiga picha ya pamoja kabla ya kuongea na chanzo kimoja wapo cha habari na kufuta sumu iliyoenezwa kwenye headlines kwa kipindi kirefu.
Kwenye interview hiyo ambayo itasikika pia kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM jumatatu April 8 2013, T.I.D amesema “watu wengi wananiona mimi ni Mkorofi lakini niko tofauti sana na wanavyofikiri, sikuwahi kuwa na ugomvi na Ommy, nimekaa nae kwa miaka minne….. taarifa za beef ni za watu tu walioamua kuniharibia tu lakini niko poa na Ommy”
Toka hizo stori zote zimeripotiwa hatukuwahi kuona wawili hawa wakiwa kwenye furaha na picha ya pamoja kama hivi kwa zaidi ya mwaka mmoja, pia alichokisema T.I.D hakimaanishi Ommy amerudi TOP BAND, kila mtu anaendelea na kazi zake.
Unaweza kuwa karibu zaidi na millardayo.com kwa kujiunga kwenye theHOODinfotainment.blogspot.com ili kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupata Breaking News mbalimbali muda mfupi tu zinapotokea.

chanzo: millard ayo


Wednesday, April 3, 2013

Ben Pol na Lady Jaydee wazinguana

So much is happening on Twitter these days. Wengi mnafahamu anachokiandika Lady Jaydee siku za hivi karibuni na sasa kibao kimemuendea Linah na Ben Pol.
jide na ben
Lady Jaydee anadai wasanii wa THT wamemsaliti kwa kile anachodai walikatazwa kwenda kuperform Nyumbani Lounge licha ya kuwalipa advance.
“Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia,” ametweet Jide.
Shutuma hizo zimepolekewa kwa hasira na Ben Pol aliyemjibu Jaydee:
“Hiyo show kulikuwa na wengine pia wakuperform je wali perform? kama nililipwa nanikashindwa ku show up, mbona sidaiwi?? Tafakari.”
Aliongeza, “Ben Pol hana muda wa maneno na majungu. Ombi langu ni mmoja kwako. Put me out of your business. PERIOD.”
“Don’t talk about things you don’t know about. DON’T.”
“Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. Nimekua vya kutosha #Trustme,” alimalizia Ben.
Unazungumziaje hiki kinachooendelea sasa na athari yake kwenye muziki wa Tanzania. Maoni yako tafadhari.

 chanzo. bongo5.com