Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na mashairi ya kupromote ubakaji unaitwa “U.O.E.N.O.”
Katika maelezo iliyoutumia mtandao wa TMZ, Reebok imesema:
“Reebok holds our partners to a high standard, and we expect them to
live up to the values of our brand. Unfortunately, Rick Ross has failed
to do so.
While we do not believe that Rick Ross condones sexual assault, we
are very disappointed he has yet to display an understanding of the
seriousness of this issue or an appropriate level of remorse.”
Kwenye “U.O.E.N.O,” Ross anarap: “Put molly all in her champagne,
she ain’t even know it. I took her home and I enjoyed that, she ain’t
even know it.”
Mapema mwezi huu Ross aliomba radhi ya juu juu kutokana na mashairi
yake kwa kutweet: “I dont condone rape. Apologies for the #lyric
interpreted as rape. #BOSS”
Baada ya masaa mawili alijaribu kuomba msamaha tena: “Apologies to my
many business partners, who would never promote violence against women.
@ReebokClassics @ultraviolet”
CHANZO: bongo5
0 comments:
Post a Comment