Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Monday, August 18, 2014

ANGALIA PICHA WASANII WALIVYOLISHAMBULIA JUKWAA LA KILI MUSIC TOUR 2014 DODOMA

KWA HISANI YA  JAFE JACKSON &nbs...

KITENGE AONDOKA RADIO ONE

Maulid Kitenge. MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter, Kitenge ameandika hivi: ...

Friday, May 30, 2014

Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini. Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza...

Friday, May 16, 2014

WEMA, AUNT WAMWINGIZA MKENGE JB

IMEKULA kwake! Wauza nyago kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wamemuingiza mkenge staa mwenzao, kaka mkubwa Jacob Steven ‘JB’ baada kukubali mwaliko kisha kumkatalia dakika za mwisho. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu. Habari za ndani zilidadavua kwamba JB na wasanii hao walitakiwa kusafiri kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujifunza utamaduni...

Tuesday, May 13, 2014

WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO

Stori: Musa Mateja RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Diva wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'. Bifu la wawili hao limekuja kufuatia madai kwamba, Prezzo amemtundika Diamond kwenye mtandao...

Friday, May 2, 2014

FADHILA ZA WEMA SEPETU ZAMTOKEA PUANI. KAJALA: SIMLIPI WEMA MIL.13 NG'O!

JAMBO limezua jambo! Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu mapigo, akisema hatamlipa Wema fedha hizo. Malkia wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Wema na Kajala wapo kwenye gogoro zito kwa muda mrefu huku mashabiki wa mastaa hao waliojipa majina ya Team Wema...

Thursday, May 1, 2014

WEMA, DIAMOND MAHABA BARABARANI

MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka  barabarani, Amani lilishuhudia. Nasibu Abdul ‘Diamond’, na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi la mahaba Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni...

Monday, April 28, 2014

ANGALIA PICHA ZA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA SUDAN YA KUSINI,TUITUNZE AMANI YETU.

  Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyoipinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa sababu ya kabila lao wakati vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana.Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo, watu hao walilengwa wakiwa katika maeneo salama walikokuwa wanahifadhiwa kama vile msikitini, makanisani na hospitalini.Umoja huo umesema kuwa watangazji katika baadhi ya vituo vya redio walitumia lugha ya chuki na uchochezi...

UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C

Rehema Chalamila ‘Ray C’ katika pozi. NA MAKONGORO OGING' MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya na kuomba kupatiwa majina, idadi na sehemu walipo watumiaji wa mihadarati hiyo ili aweze kuwasaidia kwa kuwapa somo, kitu kinachotafsiriwa...

NAY WA MITEGO ATAFUTWA KWA KESI YA KUTISHIA KUUA

Msanii wa Hip Hop Tanzania Emanuel "Nay wa Mitego True Boy" anatafutwa kwa kosa la kutishia kuua. Kwa mujibu wa Suddy Baya ambae ndie alietishiwa kuuliwa na Nay, anasema kuwa amekuwa akipokea ujumbe wa vitisho mara kwa mara kutoka kwa Msanii huyo pia amekuwa akiwatumia watu tofauti tofauti ili wamteke, na kuthibitisha kwa hilo ameshapokea simu za vitisho kutoka kwa watu tofauti huku akisema walikuwa na lengo la kumteka. Hapo mwanzo...