Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Wednesday, January 22, 2014

MUONEKANO MPYA WA MREMBO WEMA SEPETU

Pichani juu ni taswira za Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika hivi "For my baby... yes you...". Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'....

Thursday, January 16, 2014

Walichoandika Adam Mchomvu na Diva Loveness kwenye instagram.

Jana kitu kilichokua headline kubwa kwenye mtandao ni kuhusu Adam Mchomvu, Diva na B12. Leo asubuhi hizi ndio status walizoandika Adam Mchomvu na Diva kwenye kurasa zao za instagram. ...

ANGALIA PICHA ZA WAKE ZA WATU, MAKAHABA WANGONOKA NA MADEREVA KWENYE MALORI....HALI INATISHA SANA....!

KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu, twende pamoja ili kujua.Mwishoni  mwa wiki iliyopita, OFM ilitua ‘Mji Kasoro Bahari’ (Morogoro) ambapo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Morogoro, kazi kubwa ilifanyika. KAZI YENYEWE Kazi ilikuwa kuyafumua madanguro na maeneo...

Monday, January 13, 2014

ETI HUU NDIO MWISHO WA DUNIA WATAJWA

Stori: Mwandishi Wetu na MitandaoWAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani...

Wednesday, January 8, 2014

HIZI HAPA NDIO GHARAMA ZA VIDEO YA- My Number One Rimix YA DIAMOND PLATNUMZ

Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria. Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria. Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers...