
Marehemu
Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino
kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma.
Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni
Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka tuanze
safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia
GAIRO mjini.
Katika
gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza...