Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Friday, April 3, 2015

Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani?

    Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni Mtangazaji Mtanzania Charles Hillary aliyewahi kusikika sana hata kupitia Radio One pia. Charles Hillary sasa anarudi nyumbani Tanzania na kujiunga na kituo cha Televisheni cha Azam ambapo mhariri wa BBC Afrika Dar es salaam Solomon Mugera aliwaambia wafanyakazi wake kuhusu kuondoka kwa Hillary. Naibu Mtendaji mkuu wa Azam Tido Muhando alithibitisha...

Sunday, March 29, 2015

MAHAKAMA YA KADHI IMEFIKIA PABAYA: WABUNGE WAVURUGANA, MATUSI NA LUGHA ZA KEJELI ZATAWALA DODOMA

Vurugu ,matusi na lugha za kejeli ni miongoni kati ya mambo yaliyotawala semina ya wabunge kuhusiana muswada wa sheria ya kutambulika hukumu zitakazokuwa zikitolewa na mahakama za kadhi hapa nchini wa mwaka 2014/2015.   Ni sehemu ya hali ilivyokuwa wakati wabunge waliposhindwa kuvumuliana na kuheshimiana walipokuwa wakichangia mara baada ya Jaji Robert Makaramba alipowasilisha mada kuhusiana na muswada huo hali iliyolazimu ulinzi...

Friday, March 27, 2015

HII HAPA KAMA BADO ULIKUWA HAUJAITAZAMA VIDEO YA DIAMOND ft KHADIJA KOPA.

...