
Vurugu
,matusi na lugha za kejeli ni miongoni kati ya mambo yaliyotawala semina
ya wabunge kuhusiana muswada wa sheria ya kutambulika hukumu
zitakazokuwa zikitolewa na mahakama za kadhi hapa nchini wa mwaka
2014/2015.
Ni sehemu
ya hali ilivyokuwa wakati wabunge waliposhindwa kuvumuliana na
kuheshimiana walipokuwa wakichangia mara baada ya Jaji Robert Makaramba
alipowasilisha mada kuhusiana na muswada huo hali iliyolazimu ulinzi...