Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Friday, April 3, 2015

Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani?

    Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni Mtangazaji Mtanzania Charles Hillary aliyewahi kusikika sana hata kupitia Radio One pia. Charles Hillary sasa anarudi nyumbani Tanzania na kujiunga na kituo cha Televisheni cha Azam ambapo mhariri wa BBC Afrika Dar es salaam Solomon Mugera aliwaambia wafanyakazi wake kuhusu kuondoka kwa Hillary. Naibu Mtendaji mkuu wa Azam Tido Muhando alithibitisha...