Anautajiri
wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji
wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada
maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya
kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake
ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake
hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni moja ya
magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo
tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo. Matako mengine ya nakuja
na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu kulinda tako lake.
Lol
No.2
Kim Kardashian
Anautajiri
wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana ,
umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite.
Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood,
nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend wake
maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa matako yake ni yakutengeza lakini yeye
alikataa akasema no way its real.
3.
Beyonce.
Anamiliki
utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani alivyotengeneza utajiri?? Dada
huyu anaingiza pesa zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer,
muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita
“b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” . Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako makubwa
Hollywood
No.4
Serena Williams
Anautajiri
wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa Tennis as
Professional. Na nimaarufu kwa kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis, lakini
kutoka kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye matako makubwa kuliko
yangu huko nje nikisimama nae ni aibu tu.
No.5
Nicki Minaj
Anautajiri
wa dola milioni $14 ambao umetokana na uandishi wa mistari yake na rapa,
mwanadada huyo anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila wakati, hata kwenye
interview iliotokea New York post Nicki Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za
utengezaji wa matako yake. “absolutely not” said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa
kuhusu matako ya kutengeneza , “people will pick anything to talk about , and
that happens to be the thing at the moment’’. Alisema Nicki
Minaj.
No.6
Vida Guerra
Anautajiri
wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati
hajulikani kama wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa Vida
kunamilikiwa na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt , kwenye the world award na sio
mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini anajivunia kwa kujilikana kwa
umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt mara mbili
.
No.7
Nicole “Coco” Austin
Anautajiri
wa dola milioni 4 kutokana na umodel, reality Tv Personality , web personality.
Hakuna wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine anajivunia mwili
wake sana. Anapenda kupost picha za makalio yake sana kwenye
Twitter,
No.8
Buffie Carruth
Buffie
Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie The Body or simply Buffie, ni
model kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za hip hop
zinaendana na magazine na kuonekana kwenye video za hip hop. Shukuru kwa model
kama Buffie The Body the Big Booty” comple imefagia Us nzima nao inelekea to
getting out of control.
No.9
Jessica Biel
Anautajiri
wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model na
mwimbaji , anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawake
maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa muhubiri. Lakini
umaarufu wake ulitoke bada yakupiga picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na
umri wa miaka 17.
10.
Sofia Vergara
Anamiliki
utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana na uigizaji, modeling ,
mtangazaji wa television na mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family
amefungasha kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na ana makalio mazuri
yenye mvuto sana. Ame shikilia namba tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable
Women wa 2011
11.Melyssa
Ford
Anamiliki
wa dola milioni 2. Na utajiri huo umetokana na uigizaji na umodeling ,
anashikilia nafasi ya 11 kwa kubarikiwa na tako nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa
naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha matako yake kwenye vido ya
Jay-Z, Ghostface killah, na Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana
duniani.
No.12
Eva Mendes
Anamiliki
utajiri wa dola milioni 12. Ambazo amazitengeza kwa kazi zake za uigizaji,
model, uimbaji na ububifu. Eva Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi shoga
kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa dunia baada ya kutoka kwenye Peta
akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like mamlaka ya jiji ili
waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu itakapofanyika maana walikuwa
wanaogopa kutengeneza Mob scene.
No.13
Halle Berry
Anamiliki
utajiri wa dola milioni $70 , ambazo zinatokana na uigizaji , na ni former model
anachukua nafasi ya 13 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na kucheza kwake
kwenye movie ya swordfish na monster’s ball imemfanya halle Berry’s kutikisa
Hollywood na kwenye orodha yetu anatinngisha pia kwa kuwa na makalio makubwa
ndani ya Hollywood.
No.14
Scarlett Johansson.
Anautajiri
wa dola milioni 35 ambazo amazitengeza kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua
nafasi ya 14 ya wanawake wenye makalio makubwa Hollywood, anamwili wenye mvuto
sana kwenye big scree, ana anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake. “im
curvy-I’m never going to be 5’11 and 120 pounds” “ but I feel lucky to have what
I have got” na tunafurahia kumuangalia lol
15.
Shakira
Anautajiri
wa dola milioni 140 ambazo amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa
nyimbo na record producer. Hakukosea kusema Hips don’t lie na hata makalio yake
vile never lie. Alichukua nafasi ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya best butt.
Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye album Laundry Service na
kutingisha makalio yake juu ya stage.
Imeandika kwenye
http://infosourcestz.wordpress.com
0 comments:
Post a Comment