Maisha yetu wengi ni ya mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia
kujumuika na watoto waishio kwenye mazingira magumu kilichopo
Buguruni ambapo nilipata wasaa wa ..kula nao pamoja ,kucheza..kubadilishana mawazo. lakini pia kutumia nafasi hiyo kuwaonyesha kwamara ya ,kwanza kabisa,video...