Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Wednesday, February 26, 2014

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu wasanii wanaomtengenezea ugomvi.

Staa huyu wa ‘Number 1 rmx’ ft Davido ameiandika hii na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na facebook.  ...

baada ya bifu zito la muda mrefu baina ya Mecca Cheka na Jambo Squad lafikia ukingoni kwa style hii. soma hapa

baada ya bifu zito la muda mrefu baina ya Mecca Cheka na Jambo Squad limefikia ukingoni na kurekebisha tofauti zao walizokuwa nazo na hiki ndicho alichopost facebook Almando Mwiroro "MECCA CHEKA vs JAMBO SQUAD nw we ar together again.. so MAALMANDO WATOTO WA BIBI is back again no bifu wala nin.. tunawapenda sana na tunaomba radhi kwa yote yalitokea mashabik wetu" theHOODinfotainment inawapa BIG-UP KUBWA n MUCH RESPECT&nbs...

Wednesday, February 12, 2014

HUYU NDIO DIAMOND KABLA HAJAWA SUKARI YA WAREMBO,TAZAMA PICHA NA UJUE MAMBO AMBAYO ULIKUWA HUYAJUI.

Mambo matano Yatakayokugusa katika maisha ya Diamond Platnumz 01. Diamond Platnumz aliachwa na baba yake Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote. Hapa chini huyo ndiyo baba yake diamond. 02. Chumba  kupangishwa ili kumsomesha Baada ya wazazi wake kutengana, Diamond...

MAMA KANUMBA AJA NA MPYA INAYOMUHUSU WEMA SEPETU

Hamida Hassan na Gladness MallyaSIKU chache baada ya mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa kukiri kwamba Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikuwa mkwe sahihi kwake, safari hii ameibuka na kumbariki Wema Sepetu ambaye naye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaye, akisema ana huruma, roho nzuri na utu. Mama Kanumba, Flora Mtegoa. Akizungumza kwa kujiamini, mama Kanumba alisema: “Hili nalizungumza kutoka moyoni mwangu,...

ANGALIA MBINU MPYAILIYOTUMIKA KUSHAFIRISHIA MADAWA YA KULEVYA

  Unaambiwa kwenye mji wa Berlin huko Ujerumani kwenye supermarket tano yamepatikana mabox yaliyojaa ndizi ambamo ndani yake kulikua na dawa za kulevya zilizofichwa ambazo ni kilo mia moja arobaini. Ni kosa ambalo limefanywa na wauza dawa au wasafirishaji wa hizo dawa wenyewe manake mzigo ulianzia kusambaa kwenye duka la jamaa anaeuza matunda kwa jumla kwenye mji hamburg ikiaminika ni baada ya kuwasili kwa meli kutokea Colombia.   Wafanyakazi...