Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Monday, April 28, 2014

ANGALIA PICHA ZA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA SUDAN YA KUSINI,TUITUNZE AMANI YETU.

  Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyoipinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa sababu ya kabila lao wakati vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana.Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo, watu hao walilengwa wakiwa katika maeneo salama walikokuwa wanahifadhiwa kama vile msikitini, makanisani na hospitalini.Umoja huo umesema kuwa watangazji katika baadhi ya vituo vya redio walitumia lugha ya chuki na uchochezi...

UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C

Rehema Chalamila ‘Ray C’ katika pozi. NA MAKONGORO OGING' MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya na kuomba kupatiwa majina, idadi na sehemu walipo watumiaji wa mihadarati hiyo ili aweze kuwasaidia kwa kuwapa somo, kitu kinachotafsiriwa...

NAY WA MITEGO ATAFUTWA KWA KESI YA KUTISHIA KUUA

Msanii wa Hip Hop Tanzania Emanuel "Nay wa Mitego True Boy" anatafutwa kwa kosa la kutishia kuua. Kwa mujibu wa Suddy Baya ambae ndie alietishiwa kuuliwa na Nay, anasema kuwa amekuwa akipokea ujumbe wa vitisho mara kwa mara kutoka kwa Msanii huyo pia amekuwa akiwatumia watu tofauti tofauti ili wamteke, na kuthibitisha kwa hilo ameshapokea simu za vitisho kutoka kwa watu tofauti huku akisema walikuwa na lengo la kumteka. Hapo mwanzo...

Tuesday, April 22, 2014

duh! kweli Wema ni kiboko. SOMA HAPA

 Stori: Mwandishi Wetu WEMA Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ ameonesha ni kiboko katika sekta ya urembo baada ya kuibuka kidedea kwenye shindano bab’ kubwa la kumsaka staa wa kike Bongo mwenye mvuto ‘Ijumaa Sexiest Girl 2013-14’. Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’akikabidhiwa tuzo ya ‘Ijumaa Sexiest Girl 2013-14’ na msanii Nikki wa Pili. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani Ukumbi wa Dar Live uliopo...

Friday, April 4, 2014

ANGALIA PICHA ZA WEMA ALIVYOFANYA VURUGU OFISI ZA GLOBAL PUBLISHER

HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Tukio hilo la kumchoresha staa huyo mwenye vituko kila kukicha, lilijiri Jumatatu iliyopita kwenye ofisi za Global ambao ni wachapishaji...