
MASTAA
kunako tasnia ya filamu Bongo,Jackline Wolper na Vincent
Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea
kurekodi filamu yao mpya.

Kupitia
account zao za Instragram wamepost picha mbalimbali wakitazama wanyama
huku Ray akiandika …Hii Sehemu inaitwa National Parks ipo Arusha. Kuna
vivutio vingi sana vya kuifanya Nchi Ye2 Kujitegemea bila Misaada.

…Hapa Kuna Maji ambayo Yanatoka Juu na kuporomoka Chini yani WaterFalls.
0 comments:
Post a Comment