So
baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuonyesha Diamond na Wema
Sepetu wakiwa pamoja na stori nyingine zikisema wamerudiana, Diamond
amepost hii picha na kuandika.. Diamond
alikanusha taarifa za kurudiana na Wema kisha akaongezea kwamba
kuachana na mtu mapenzini haimaanishi ndio uadui umeanza…
0 comments:
Post a Comment