anaonekana slow by slow akiupa mgogo u good boy aliokuwanao kama kijana mdogo tangu aingie kwenye game ya mziki.
na sasa Bieber mwenye miaka 18, anaonekana kuendelea kuvuka mipaka zaidi na zaidi hasa upande wa mashabiki wake.
baby boy hit maker ameonekana akiopapasa nyonyo ya shabiki wakati wa
"meet and greet session, Miami siku ya juma tatu.kilichoshangaza zaidi
ni pale ambapo watu walidhani shabiki huyo atashtuka au kukasirishwa na
kitendo hicho, lakini badala yake alionekana kutokushtuka na hata kumpa
bonge la smile.