Hili ni moja ya majumba ya
kifahari yanayomilikiwa na Mnigeria anaeshika nafasi ya pili kwa utajiri
Nigeria kwa mujibu wa jarida la Forbes Mike Adenuga, hili ni jumba la
mabilioni ya Naira ambalo liko kwenye ardhi ya bei ghali inayomilikiwa
na wachache wenye pesa Nigeria, panaitwa Banana Island.
Kwa mujibu wa blog ya Linda ni
kwamba His billion Naira estate consists of 8 duplexes and an additional
one for his personal residence with home office (the gold one), two
watch towers and a multipurpose hall that sits 200 people, kuna swimming
pool ya ndani, car park, helipad, yacht deck and it sits on roughly 3
hectares.
Ni jumba la kifahari ambalo pia
lina msikiti na kanisa ndani yake ambapo kama haufahamu huyu ndio
tajiri ambae aliwahi kuingia kwenye headlines Africa baada ya stori yake
ya kumlipa Beyonce kuja kuimba kwenye harusi ya mtoto wake wa kike
mwaka 2010.
0 comments:
Post a Comment