
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na
taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria
harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali
mbali akiwenmo msukumba gozi wa Totenham Hotspurs Adebayor.Awali kupitia blogs mbali mbali kulisambaa taarifa kuwa dimond alikua
mwanamuziki pekee afrika mashariki aliyealikwa katika sherehe hiyo
iliyohudhuriwa na tajiri nambari...