
Wema Sepetu
Ifuatayo ni orodha ya mastaa 10 ambao
wamefanya vizuri na kuuza filamu nyingi kuliko wengine ndani ya mwaka
huu.JACOB STEVEN ‘JB’Huyu ni mwigizaji mkongwe kunako gemu
la filamu Bongo. Kupitia kampuni yake ya Jerusalem, JB anakiri kuwa ndani ya
mwaka huu amefanya kazi nyingi. Amecheza filamu 23 na zote zipo sokoni na
zinafanya vizuri katika mauzo tofauti na mwaka uliopita. Unaikumbuka DJ
Ben?STEVEN KANUMBA Marehemu...