Blogger Widgets

Tuesday, December 11, 2012

PICHA ZA UCHAGUZI MPYA WA BONGO MOVIE; VICENT KIGOSI AWA MWENYEKITI MPYA WA BONGO MOVIE HUKU........!


Shilole akipiga kura
Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline

Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper

Irene Uwoya na Chiki

Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper

0 comments:

Post a Comment