Blogger Widgets

Saturday, September 1, 2012

MCHOMVU APATA SHAVU LA KUWA JUDGE KATIKA FANALI ZA NOKIA

Adam mchomvu
Among of hottest show in town double XXL kutoka The people station clouds fm namzungumzia Baba john au Adamu mchomvu amepata shavu la kuwa the judge katika mashindano ya nokia don’t break the beat ambayo
yatafanyika nchini Kenya Nairobi.Adam aliweza kusema kwamba  kuwa judge sio ndiyo kama tutashinda ile anacho omba kwamba  sisi kama Tanzania tuwapigie kura washindi ambao wanaenda kuiwakilisha Tanzania katika mashindano haya ambayo yanafanyika  nchini Kenya Nairobi  mwezi huu wa 9 ambao washindi wetu wanaofaa bendera kwenda katika mashindano hayo ni Ally chuma na Njema mtandika. Mchomvu alimalizia kwa kusema kwamba pia hatakule kama kuna watanzania  aliomba wajitokeze kwa wingi ilituwape support ya kutosha hawa wanao wakilisha Tanzania katika fanali hizi.

0 comments:

Post a Comment