Blogger Widgets

Monday, September 10, 2012

USIKU WA MUONEKANO WA DHAHABU SERENGETI FIESTA MKOANI SINGIDA

           Cyril ni moja kati wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika serengeti fiesta mkoani singida.

 Ukitaja wasanii ambao wana hits sana na ngoma zao katika vituo mbalimbali hivi sasa basi Godzilla atakuwa ni mmoja wapo kwani msanii huyu hivi sasa anakibao ambacho kinafahamika kwa jina la nataka na inafanya vizuri sana pia nyimbo hii  ndiyo imewafanya  mpaka wakazi wa singida katika serengeti fiesta kumkubali sana.
  Palikuwa hapatoshi  kama unavyoona vile jinsi mashabiki wanavyopenda muziki na ndiyo maana muonekano wa dhahabu serengeti fiesta imeamua kwenda mkoani hapo singida kutoa burudani nzuri kabisa tunasema balida.
          Msanii wa kizazi kipya cha bongo fleva anafahamika kwa jina Stamina anajaribu kuwaonyesha mashabiki  wake wa mkoani hapo singida kwamba hapa stamina zipo za kutosha kabisa.
     Rich movoco akiwaimbisha mashabiki wake waliofika katika tamasha la serengeti fiesta usiku wa kuamkia leo wakazi wa mkoani hapo walikusanyika kwa pamoja na kuja kushuhudia jinsi wasanii wao wanavyotoa burudani kali kabisa.
 Ni moja kati ya wasanii ambao wamefanya vizuri sana katika serengeti fiesta mkoani tabora sasa baada ya muonekano mpya na dhahabu ileile kuamia singida yaani ilikuwa ni balida alifanya wakazi wa mkoani hapo mpaka 


                                                       B dozen na dj zero kweli wapo balida kabisa,

0 comments:

Post a Comment