Sehemu ya chini ya usukani ukiwa umefungwa kwa kamba (ambayo hutumika
kufungia ng'ombe) na mti kama uonavyo pichani,katika basi la abiria
linalomilikiwa na Kampuni la Mwasha ambalo husafirisha
abiria kutoka Sumbawanga/Mbeya na Mbeya/Sumbawanga. Hii imegunduliwa baada ya ajali iliyotokea hivi karibuni katika eneo la Senjele,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya,baada ya basi hilo kupinduka ambapo zaidi ya abiria 50 walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Ifisi Wilaya ya Mbeya Vijijini.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali ya basi linalomilikiwa na Kampuni la
Mwasha ambalo husafirisha abiria kutoka Sumbawanga/Mbeya na
Mbeya/Sumbawanga. Hii imegunduliwa baada ya ajali iliyotokea hivi
karibuni katika eneo la Senjele,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa,akisubiri kupewa matibabu katika
Hospitali ya Ifisi kufuatia ajali ya basi hilo lilolopinduka na
kujeruhi abiria 50.
Mmoja wa majeruhi akiwa mapumzikoni baada ya kupewa matibabu katika
Hospitali ya Ifisi kufuatia ajali ya basi hilo lilolopinduka na
kujeruhi abiria 50.
Wauguzi wa Hospitali ya Ifisi wakikokota kitanda kilichobeba majeruhi wa ajali ya basi.
Majeruhi akipatiwa matibabu.
Muuguzi
Mkuu Sikitu Mbilinyi wa Hospitali ya Ifisi,akitoa taarifa ya majeruhi
waliopokelewa katika Hospitali hiyo ya Ifisi,kufuatia ajali ya Kampuni
la Mwasha ambalo husafirisha abiria kutoka Sumbawanga/Mbeya na
Mbeya/Sumbawanga. Hii imegunduliwa baada ya ajali iliyotokea hivi
karibuni katika eneo la Senjele,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya,baada ya
basi hilo kupinduka ambapo zaidi ya abiria 50 walijeruhiwa na kukimbizwa
katika Hospitali ya Ifisi Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Hata
hivyo imedaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kutokana na basi hilo
kubeba mizigo mizito na kujaza abiria kupita kiasi na usukani wake
kufungwa kamba ya katani na mti.
0 comments:
Post a Comment