Pichani: G-Nako & Nikki wa Pili
Msanii kutoka kundi la Weusi G-Nako ametiririka na Bongo Star Link na
kusema maana ya neno BADO NGWARE ambapo jina hili amelitumia katika
track zake mbili ile ya kwanza aliyomshirikisha Peter Msechu na hii rmx
ambayo kamshirikisha Nikki wa Pili.
G-Nako anasema
maana ya neno hilo ni BADO MAPEMA na kama unataka kujua maneno
yaliyosemwa humo ndani isikilize track hii ambayo ni remix
0 comments:
Post a Comment