Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Thursday, October 31, 2013

Ney wa Mitego asimulia kilichotokea

  Rapa wa muziki wa kizazi kipya, Ney Wa Mitego akiwa katika pozi, amesimulia yaliyomkuta kuhusu sare ya jeshi la Polisi. Picha na Maktaba  Na Herieth Makwetta, Mwananchi  Akizungumza na Mwananchi, rapa huyo alisema sare hizo za polisi zilishonwa kwa ajili ya kazi hiyo na wala hazikuwa sare halisi za kipolisi. Dar es Salaam....

BALOZI SEPETU ALIVYOAGWA JIJINI DAR MAPEMA LEO, NA USOME WASIFU WAKE HAPA

Hivi ndivyo Balozi Isaac Abraham Sepetu alivyoagwa jijini Dar es Salaam Oktoba 29, mwaka huu nyumbani kwake Sinza-Mori. Balozi Sepetu amezikwa jana Visiwani Zanzibar. WASIFU WA BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU Balozi Isaac Abraham Sepetu alizaliwa Oktoba 16, 1943  mkoani Tabora na kabila lake ni Myamwezi. Alihamia Visiwani Zanzibar alipokulia na kupata elimu yake chini ya uangalizi wa Said Sepetu Langa pamoja na Mzee Abeid Amaan Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. 1952 - 1963 Balozi Sepetu alipata...

ALICHOKIANDIKA DIAMOND MARA BAADA YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU

Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu  ...

Monday, October 28, 2013

‘FIESTA PART TWO’ YAFANA KINOMA LEADERS CLUB

Diamond akifanya mambo yake na madensa wake.   Davido akiwasalimia mashabiki.   Mmoja wa wapambe wa Davido. Davido na mwenzake wakiwaimbisha mashabiki.    Mrisho Mpoto na jamaa kutoka Push Mobile wakimtangaza mshindi wa gari mkoa wa Dar es Salaam.   Mtangazaji wa kipindi cha XXL, Adam Mchomvu, akiwapagawisha mashabiki.   TID Mnyama akifanya ‘mavitu’ yake.   …Akiendelea kukamua. Diamond na...

FIESTA 2013... LAIVU!

Na Waandishi Wetu SHOO kubwa ya Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar usiku wa Jumamosi ilifunga mitaa na kusababisha kila aliyehudhuria kutoka na msemo mmoja tu, yaani noma sana, Ijumaa Wikienda lilikuwa laivu kukupa ripoti kamili. Snura akionyesha mbwembwe zake jukwaani. Katika burudani hiyo, timu ya gazeti hili ilijipanga kukuletea kila kilichojiri ambapo mapaparazi wake, Musa Mateja, Richard Bukos, Shakoor Jongo na Erick Evarist walikuwa wakiwasiliana...

WEMA AZIMIA MARA TATU

Stori: Makongoro Oging’ na Jelard Lucas MISS Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu, wikiendi iliyopita aliingia katika kipindi kigumu zaidi katika maisha yake, kwa vile lilikuwa tukio zito kulibeba baada ya kuzimia mara tatu ndani ya saa 7. Wema Isaac Sepetu akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na baba yake mzazi. Wema ambaye ni nyota wa filamu Tanzania, alizingirwa na maumivu makali, yaliyotokana na...

Saturday, October 26, 2013

DIAMOND ATOA SIRI 5 ZA YEYE KURUDIANA NA WEMA NA KUACHANA NA PENNY

  MKALI wa songi linalotamba runingani na redioni ndani na nje ya Bongo la Number One, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ amefunguka na kuanika siri tano za kurudiana na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wiki mbili zilizopita, wakiwa Hong Kong, China, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii viliripoti kurudiana kwa Diamond na Wema waliomwagana takriban mwaka mmoja uliopita ambapo staa huyo wa Bongo Fleva aliibuka na kukanusha...

Friday, October 25, 2013

MWANAMUZIKI MOHOMBI NZASI AWASILI JIJINI DAR

Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo (kulia) akifanya mahojiano na wanahabari baada ya kutoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kufanya shoo kali ya Serengeti Fiesta inayotegemea kufanyika kesho katika Viwanja vya Leaders Club. Mohombi (kulia) akisindikizwa kutoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kushuka na ndege ya Turkish Air...

DINI MPYA YA AJABU ILIYOANZISHWA HUKO MBEYA INAWAFAA WENGI.SOMA HAPA UJIONEE MAAJABU

  Diniinayoamini katika MUNGU lakini ikiruhusu yale ambayo dini zingine  zinapinga imeanzishwa eneo la mji mdogo wa Makongolosi wilayani Chunya  mkoani Mbeya, Dinihiyo haiamini katika kutoa sadaka bali inasema tunamtolea nani sadaka  wakati Vitu vyote tulivyonavyo ni mali ya MUNGU,kwa nini tunampa MUNGU  mali zake Mwnyewe.! Dinihiyo inaruhusu ulevi,uchawi na uzinzi kwa sababu vimeumbwa na  MUNGU,Vile...

DANGURO LA MADENTI LAFUMULIWA

Na Waandishi Wetu Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers wamefanikiwa kulifumua danguro linalodaiwa kufuga madenti wa vyuo mbalimbali jijini Dar. Madenti hao walikamatwa mwanzoni mwa wiki hii kwenye danguro hilo lililopo ndani ya baa maarufu iliyopo maeneo ya Buguruni-Sokoni, Dar. KERO ...

Monday, October 21, 2013

Hii ndio list nzima ya wasanii watakao wakilisha stage ya Fiesta 2013

Alaine Wiki iliyopita lista ya wasanii wawili kutoka nje ya Tanzania ilitangazwa, ambao ni Alaine (Jamaica) na Davido (Nigeria) ambae alithibitisha kushuka na J Martines, sasa leo hii wasanii wawili zaidi wamethibitishwa kushuka ikiwa ni Mohombi ambae ametangazwa leo asubuhi pamoja na Iyanya kutoka Nigeria ambae ametangazwa kupitia xxl ya Clouds Fm. Davido na hawa ndio wasanii wetu watakao-share stage moa na wasanii hao, Ommy...

The Session - Mr T Touch HD ya KenedyThe Remedy, sindio hii hapa sasa,

...

Sunday, October 20, 2013

JOKATE AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA DIAMOND, HASHEEM - (GLOBAL TV) MAPYA YAIBUKA

Na Waandishi Wetu KUMEKUWA na maneno mengi juu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya staa mwenye vyeo vingi Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kisha staa wa kikapu wa NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet Manka. Kwa mara ya kwanza mwanadada huyo amefunguka kupitia mahojiano maalum (exclusive interview) na gazeti bora la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda na kufichua mazito nyuma ya pazia.… Na...