Blogger Widgets

Thursday, October 10, 2013

NEWZ DIAMOND AANDIKA HIKI HAPA KUHUSU PICHA ZILIZOSAMBAA YEYE NA WEMA SEPETU WAKIWA MALAYSIA

 wemondSo baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuonyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja na stori nyingine zikisema wamerudiana, Diamond amepost hii picha na kuandika..
Diamond
Diamond alikanusha taarifa za kurudiana na Wema kisha akaongezea kwamba kuachana na mtu mapenzini haimaanishi ndio uadui umeanza…

0 comments:

Post a Comment