Watangazaji
wa Clouds Fm Adam Mchomvu na Loveness Love a.k.a Diva Mimi wakirusha
matangazo 'Live' ndani ya jiji la Tanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeee! Fiesta
ndiyo hiyo imeanza kubamba na itafanyika tarehe 26.8.2012 uwanja wa
Mkwakwani kwa kiingilio cha shilingi elfu tani tu (5,000). Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akiwa na msanii wa Tanga mwanadafada Michu wa michujo. Mkuu wa Vipindi… Watangazaji
wa Clouds Fm Adam Mchomvu na Loveness Love a.k.a Diva Mimi wakirusha
matangazo 'Live' ndani ya jiji la Tanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeee! Fiesta
ndiyo hiyo imeanza kubamba na itafanyika tarehe 26.8.2012 uwanja wa
Mkwakwani kwa kiingilio cha shilingi elfu tani tu (5,000). Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akiwa na msanii wa Tanga mwanadafada Michu wa michujo. Mkuu wa Vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga akiweka mambo sawa. Chini
ya udhamini wa Gapco ndani Serengeti Fiesta 2012, mtangazaji wa Clouds
Fm Adam Mchomvu akifanya mahojiano na dereva Juma ambaye amewezesha
safari ya Dar kwenda Tanga, pembeni ni Harun akichukua matukio 'live'
Clouds TV. Mistari ikishuka. Mwanadada Loveness Love akiwa na Sudi Brown. Wakazi wa Tanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Kikosi
kizima cha Clouds Fm upande wa Mitambo Jackson na Daudi wakiwa na mkuu
wa vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga wakisababisha live ndani ya
Tanga.
0 comments:
Post a Comment