Mwalimu Nyerere akiwa na Mzee Jomo Kenyatta enzi za uhai wao.
LEO Jumapili, Oktoba 14, 2012 Watanzania wanaadhimisha miaka 13 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Hata hivyo, kama kuna kitu ambacho
Mwalimu Nyerere alikiabudu – mbali ya Mungu kupitia katika imani yake ya
Kikatoliki – ni Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyozaliwa ndani ya
Azimio la Arusha, ambayo aliendelea kuihubiri na kuitetea kwa nguvu zake
zote hadi kikomo cha uhai wake.
Kila
alikokwenda daima alitembea na Biblia pamoja na Azimio la Arusha,
akiamini kwamba misingi ambayo TANU iliiweka kwenye azimio hilo Februari
5, 1967 pale Arusha ilikuwa mizuri na ingeendelea kuwa mizuri ikiwa tu
Watanzania wangemwelewa dhamira yake. endelea zaidi.../www.kwanzajamii.com/?p=4020
0 comments:
Post a Comment